Siyo huyo tu isipokuwa sidhani kama kituo hiki wana quality control system kwa matangazo yanayotoka hewani pamoja na watangazaji.Watangazaji wote wa station hii wana mihemko .....Afred Masako naye ndo wale wale ......mwenye ndooo haya, mwenye kijiko hayaa, mwenye mfuko wa lambo hayaaaa.....
Kuna yule wa taarifa ya michezo khaaaaa ...ana misamiatiii anavuta sauti... nikimsikia tu nahamisha station..jina lake limenitoka sikapendi..nachefukwagaa
Mkuu, kule TBC nako ulishanwona Festus Makerubi !!!Sam mahela anakera mno, utafikiri Toto la kike vile.
huyo ana mambo ya kijinga sana moja yeye anasema moya wapi na wapi??ni kichefuchefu tu.Ajajajajajaja.......yule huwa natamani kuvunja tv......anaitwa sijui nani Kivuyo......uwiiiiii.......kachangia sana kunirudisha nyuma kimichezo..........
Elimu,elimu elimu wakenya tutawafukuza sana na hatuta wakamata na ndio maana hapa wako wengi tu wanapiga kazi uliza kenya kuna wa tz wangapi wanafanya kazi huko-ni aibu.Kweli, wale watu wanajua wanachokifanya. Hawabahatishi
Mkuu umetishaaaaaaaa yaani umenifanya nicheke sana,like haionekani.hata nyie mtaani hampendwi
sema hamjijui tu
wengne mnatembea kama bata, mnatoa majasho hovyo, vichwa kama panga ila wanawavumilia.
acheni mambo yeko hawajazaliwa kukufurahisha wewe.
Elimu,elimu elimu wakenya tutawafukuza sana na hatuta wakamata na ndio maana hapa wako wengi tu wanapiga kazi uliza kenya kuna wa tz wangapi wanafanya kazi huko-ni aibu.
hahahahahaaaaaaaaaaaam
Hemed kivuyo
Yaaani huyoooo km niko na remote fastaaaa natoa...ss km remote iko na mzee anafanya kusud hatoi ili aone km nitatapika..ila sio siri nitatoka ht nje nisimsikie
Nimpendae ni Julie Gichuru Citizen TV. news at 9,sunday huwa sikosi,news nikama darasani bana unafunzwa maneno unajisahau kidogo hivi unastukia imefika saa nne na nusu.Anafaa kuwa lecturer huyo ako sawa tena sana.
Hebu tujaalie unakutananae in person una issue mnataka mu discuss halafu akuletee hizo utajisikiaje?
Hasa kwenye truth meter
Kuna wakati Watanzania tubadilike, kuna mambo kibao ya kukukinaisha na yakuwekea nguvu kuyatatua likiwemo mafisadi wahujumu uchumi, ajira, mishahara ya walimu, kero za hudama za jamii sio kuleta upuuzi kama huu.
Nini shida hasa kuangalia anacho-ripot Marato? Kila mtu ana identity yake, hatuwezi kufanana kwa kila jambo, anakukela basi badili chaneli, na wengine wote hapa wafuata mkumboo, mbona mnadandia uzi huu kuendelea kumsema Marato?
Tubadilike tuleteni vitu vipya vya mustakabali wa Taifa letu,
Huyu ripota kwa kweli huwa nikisikia tu sauti yake nabadili chanel yani anatafuta attention kwa nguvu sana na utofauti usio na msingi. Yani ananikera kama sauti ya mbu ukiwa umelala . So unprofessional.
Amewahi kuona ripota gani wa kuheshimika anapoteza muda kwa kuvuta maneno kama yeye? Jirekebishe unakera sana jinsi unavyovuta makusudi maneno yako. Hata haipendezi. Kero sana. Yani.