Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Kweli tumetofautiana mi akivutia sauti hunikosha sana na yule wa habari za michezo
Kweli mkuu ndugu yangu Diva Beyonce
Last edited by a moderator:
Kweli tumetofautiana mi akivutia sauti hunikosha sana na yule wa habari za michezo
Like this Mm niiii geooorgeemmm maratoooooo wa iiiiiiiiiiiiiitviiiiiiiiiii
Wakenya wabunifu.......huwezi kuwakuta wakitangaza kipuuzi kama hawa wetu........hata commercial zao zimeenda shule......sio kama za kina Majuto na magodoro Dodoma........kichefuchefu kitupu.........
Tunatofautiana IQ na mitazamo.Mimi Marato hadi kwa watoto inakuwa funny! Sioni tatizo
Hamuwezi kuwa serious duh..nadhani nyie habari kwenu ni kama mziki tu. Tutafika ipo sikuKweli mkuu ndugu yangu Diva Beyonce
Kuna yule wa taarifa ya michezo khaaaaa ...ana misamiatiii anavuta sauti... nikimsikia tu nahamisha station..jina lake limenitoka sikapendi..nachefukwagaa
Nimeamin akili yako ni tofali

...........roryaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAammmmmmmmmmmmmmmmmmm!