Kero: George Marato wa ITV

Kero: George Marato wa ITV

Huyu ripota kwa kweli huwa nikisikia tu sauti yake nabadili chanel yani anatafuta attention kwa nguvu sana na utofauti usio na msingi. Yani ananikera kama sauti ya mbu ukiwa umelala . So unprofessional.

Amewahi kuona ripota gani wa kuheshimika anapoteza muda kwa kuvuta maneno kama yeye? Jirekebishe unakera sana jinsi unavyovuta makusudi maneno yako. Hata haipendezi. Kero sana. Yani.
hemed kivuyo
 
Kuna yule wa taarifa ya michezo khaaaaa ...ana misamiatiii anavuta sauti... nikimsikia tu nahamisha station..jina lake limenitoka sikapendi..nachefukwagaa

Mpk daika arobain na tano za kwanza zinakatika,Yanga MOYA simba thuufuri
 
Huyo jamaa kawaharibu madogo hapa maskan maana lazima wamuigize! Kero sanaaa aaaa!!!!
 
Siwafahamu vizuri maanake hapa kenya hatupati ITV lakini vile umeeleza umenichekesha nikatamani kumwona hata kama labda ataniudhi.

Kama unatumia Azam or continental au dstv decoders unaweza kuona all Tanzania channels news
 
hao maripota kwa kweli wanakera kuna mwingine anaripot toka Tabora yule jamaa cjui anaitwa nan?? yule ndoo kabisaaaa nazma na TV!!!
 
hahah kwa kwel ht mm joji marato ananikwazaga,,mbwembwe za kiboya kbs zileee
 
Kuna yule wa taarifa ya michezo khaaaaa ...ana misamiatiii anavuta sauti... nikimsikia tu nahamisha station..jina lake limenitoka sikapendi..nachefukwagaa

Naunga mkono hoja.. mara elfu kumi marato siyo haka kajamaa ka michezo. hivi hamalizi field tu?
 
Ndio tatizo la ukanjanja wa mtu anaitwa Joyce Mhavile, duniani pote TV ni personality driven, vitu kama sauti ni part of ones personality, kawaida wasikilizaji hata kama wachache (kwa huyu ni wengi na kwa miaka mingi) wakisha indicate kukerwa na vitu kama hivyo angetakiwa ama amuamuri abadilike au amhamishe kitengo, tatizo ya huyu dada anayejifanya yeye ni owner kuliko mengi anadhani anatukomoa sisi, na huyo mengi aliyezomewa Diamond is too stupid to know that media is public owned hata kama yeye ndio aliyewekeza, ndio maana rating zake zinashuka, TV kubwa kama hiyo hana kipindi hata kimoja chenye followers zaidi ya telemonde na isidingo, lakini yeye anajiona anaweza, kazi alilyonayo ni kutumia hela zake ku sabotage sector hiyo kwa ku own waves kibao eti 99% ili wengine washindwe kuingia kwenye fani. Hopeless kabisa wamebaki kuabudiana, Joyce anafikiri mkisema yeye ndio kiboko kwa kigezo kuwa mti wenye matunda ndio unapigwa sasa niambie hapo kuna matunda gani? subirini hama mwaka rating yake itakua very low watabakia kulipa waandaaji wa superbrand wapewe hilo jina kila mwaka, what is super about them? kwa sasa channel ten, azam, TVI, Clouds wote wako juu sana wao wamebaki na hao watoto wanaowa recruit kila siku kisa joyce anaona wivu hata wakina Gamba wakifanya vizuri, wako wapi wakina fauziyat aboud kwa nini wasi anke, mengi yuko busy na kulea watoto na kujaribu kumuuza mama kwa nguvu, no school anadhani kuzaa na yeye ni qualification ya kuwa successful.
 
Wivu ulopindukia huu, kuna tabia zilizojengeka toka utotoni huwez zibadili kirahis tu (old habit dies hard)
 
Mh wewe una zaidi ya kinacho jadiliwa hapa..! Kweli ITV ina shuka? Kwa hiyo kama wanahonga ina maana hata Clouds FM wana honga kuwa super brand radio? Mmh Mimi nafikiri hizi ni chuki zilizo pitiliza!Hebu twambie TV zingine zenye vipindi vizuri! Mh this is too much
 
hao maripota kwa kweli wanakera kuna mwingine anaripot toka Tabora yule jamaa cjui anaitwa nan?? yule ndoo kabisaaaa nazma na TV!!!

anaongea sauti ya kinafiki..yani unaeza kujua jamaa ni.mnoko kumbe labda ni mtu peace
 
Back
Top Bottom