KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

Ethiopians watamu.. watamu sana.. nina 4 chicks.. naendaga mara kwa mara.. nimesomea huko pia.. waremboo... ila umpate mwenye makalio utafurahii.. kuhusu usafi kweli sio wasafi sanaaa.. inabidi ukiwa na demu kule umfundishe kuoga..!!

Hao mademu wa Ethiopia wengi wamekeketwa.
 
Addis Ababa Beibii! mimi nilichelewa connection wakanipeleka hotelini DREAMLINER daah wadada kibao wanakukonyeza kama unataka KIPOCHI MANYOYA. Wana njaa hatareee japo weupe lakin ukwimi umeshamiri
 
Aisee india nimewakubali zaidi na Airport zao pia na Malls zao za ukweli, Nilifika pale DELHI Airport FULL A/C mpaka chooni/ hakuna kelele wala nini na pametulia hakunaga vurugu kama BOLE sema inabidi uwahi uwanjani mapema maana, wadosi wanasafiri sana so foleni kubwa immigration.usipokuwa makini ndege inaondoka ukiwa kwenye foleni za immigration maana hakunaga maspika mule (ni kimya kimya) Ila dada zetu waafrika (Watanzania pia wamo wanauza nyappu mnoo Huko India mpaka aibu).

** Hiyo ndege ya ADD-DELHI ni tule tudogo tudogo sit kama school bus yaani sisi warefu kukaa masaa 6 kwenye zile siti ni mateso ajabu.
Hii ya kuuza nyapu Dubai nasikia Waganda wameteka soko, anaondoka Uganda na kabegi ka kilo 5 tu, maisha yanajiseti huko mbele kwa mbele.
 
Wabongo bwana eti ET cloud 9 yao kama bar za uswazi? ET hawajajipanga hapo Bole tuu lakini Dream Liner zao zipo poa sana na usalama wa kutosha ni ndege ya biashara ile na imekuza sana uchumi wa Africa..Kutoka Nchi yoyote wao mizigo unabeba kilo zao bila utata mimi nawakubali sana kwa shughuli zetu za kupakia vitu na bei yao mara nyingi ipo chini kulinganisha na kampuni zingine na pia zimesaidia kukuza kipato kwa Waethiopia waliopo SA kwa kusafirisha fedha na mizigo bila kizingiti Oliver Tambo pale..
 
Yaani ET ni kama SAI BABA? Lol
sijui SAI BABA ya wapi hiyo inayofananishwa na ET.. Wa Ethiopia wenyewe wameikamata Johannesburg kwa utajiri mkubwa na pia wanadrive vogue,Hundai H 1, Disco 4, Mercedes 350 MLG, BMW X 6, Matoleo ya karibuni tuu na mengine vyuma hatari sana sisi tunaotumia passo na vits za kutosha ndio tuna dharau utadhani sisi ndio tupo kwenye Vogue au tunamiliki magorofa SA kama wao kumbe sio...
 
Mkuu kusukuma magari expensive sio big deal. Ukiwa na good income na super credit of 750+ utaendesha hizo gari ulizozitaja
Gari ni kama nepi
 
Mmmh! Hivi hili jina airTran lipo kweli ktk airports hii 2016? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Southwest acquired AirTran.
Southwest and Spirit Airlines are ghetto airlines
 
Mkuu kusukuma magari expensive sio big deal. Ukiwa na good income na super credit of 750+ utaendesha hizo gari ulizozitaja
Gari ni kama nepi
Mkuu ni big deal kusukuma gari nzuri Tanzania usinidanganye ndio maana wengi wanaendesha gari za kawaida tuu na gari sio Nepi kama unavyosema kwa Tanzania mkuu huku ndio magari kama Nepi na wala haiitaji income kubwa kama hiyo uliyosema kawaida tuu na magari makubwa tuu yanatembea.,.
 
ethiopian ni watu wa ajabu kuanzia kwenye ndege kwenyewe, yaani vile vidada vichoyo balaa vinakupa chakula kiduchuu, hakuna kinywaji cha maana zaidi ya maji, maza fanta na cocacola abiria wa safari ndefu ukifika basi pale uwanjani kwao DUTY FREE shops zao wametandaza ile mitandio tu ya ki-ethiopia tu, sisi tunataka pombe tupotezee muda safarini mnatuuzia mitandio, ya nn sisi?
NB: WIFI mpaka kununua 10 USD dakika 30 tu. ***** wallahi!!
mkuu tumia qatar airways ukifika hamad intl airport- doha wifi ni bure na pia kuna internet kiosk za kumwaga pia ni free kabisa
 
Ndege nzima inanuka injera tuuu halafu kujambiana njia nzima
Tatizo la ndege za Ethiopian wengi wanalolizungumzia hapa lipo kwenye aina ya abiria wanaopanda ndege zao. Japo sijasafiri nao mara nyingi lakini nimegundua ndege zenye matatizo zaidi ni zile zinazosafiri within African continent na zile zinazoruka kutoka Addis Ababa kwenda kwenye miji ya kibiashara China. Na wanaosababisha haya matatizo ni aina ya abiria wanaopanda hizi ndege. Wengi wao ni watu local na wasio na elimu, wanaofanya uchuuzi wa bidhaa kati ya Afrika na China. Wengi ni type ya wafanyabiashara wa Kariakoo ie. wengi hawana elimu ya kutosha, hawana exposure kubwa ya ustaarabu, waliopata fedha kwa uchuuzi wa bidhaa na wanafikiri wanajua na wamemaliza kila kitu kumbe sio.
 
Hili sikulijua aisee!!
 
Agree with you, kutoka middle east wanaoitumia ni wale wafanyakazi wa kiwango cha chini na wafanyakazi wa ndani.

Niliitumia mwanzoni mwa mwaka huu, katikati ya safari wakatangaza inabidi tupitie Khartoum ( route ambayo hata haijapangwa) eti kuna abiria inabidi tuwapitie - Dalala typical!
 
Ingekuwa ni nchi zilizostaharabika, hao ET wangepelekwa mahakamani.
 
Tulitoka Nairobi tukaenda Kinshasa kupitia Abiria then ndo tukaunga Addis Ababa full Daladala. Kufika Bole ndege yetu ya Mumbai ishasepa kudai tupelekwe hotel wanachomoa wakati kosa ni lao *****. Tukalala airport mule vibaka nje nje. Kweli Cheap is expensive
 
Back
Top Bottom