muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,729
Ha ah ha ha mkuu,hujamuelewa jamaa,ana maana ya kwamba Wanyarwanda hasa wanawake nje wazuri,ila ndani(papuchi) zao hawajui kujisafisha chafu..Mkuu acha hizo bana, wanyarwanda wasafi sana, hebu nipe utofauti wa usafi wa wanyarwanda na watz? Acha kudhalilisha nchi za watu.. Kwa usafi gani haswa unataka kusema watanzania wamezidi wanyarwanda?? Anzia kulinganisha dar na kigali kwanza.!
Na hapa tunaongelea Bole airport, Ethiopia sio Rwanda eboo.!