Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Naona bado uko kitandani
Hebu burudika na hiyo

Nanto maee ....!!!!!!!!!

Kama kawaida baba paroko mambo yako hayo lazima itifaki izingatiwe eeeh! Mwaka mpyaaaa swaga mpyaaaaaa! Ina lipa eee! Mapicha picha nini nanini mavideo video, dah kweli nimeamini kilimo dili.
Back to da topic..
 
Kama kawaida baba paroko mambo yako hayo lazima itifaki izingatiwe eeeh! Mwaka mpyaaaa swaga mpyaaaaaa! Ina lipa eee! Mapicha picha nini nanini mavideo video, dah kweli nimeamini kilimo dili.
Back to da topic..

Ukiyafuatilia ya baba paroko yatakutokea puani

Anapopita baba paroko huwezi kupita wewe

Kaa mbali ...!!!!!!!!
 
Hapo ndipo wanawake wanapopoteaga sana na ndoa zilizoingia kwa kipimo cha kazi ya mwanaume kuibukia migogoro ya kutosha..

Unakuta mdada kamzimikia mwanaume banker mshahara laki 7 net anaolewa akijua ameukata, anaingia ndani ya ndoa baadae anagundua amepotea anaanza kumtamani mume wa mwenzake anaepanga ma container bandarini hajui kuvaa tai kila siku ma ovaroli tu lakini kipato sasa mamilioni


Dada zangu nawashauri kama mnapenda wanaume kwa kigezo cha pesa msiangalia mavazi na uzuri wa ofisi ya kidume, kuna watu wanatengeneza hela vibaya mno kwa kazi zisizoruhusu kupendeza..

Mnajua mume wa nancy sumari Luca anafanya nini? Nenda kafanye homework yako jamaa nilimkuta kwenye container yard yake DICD amekula reflector, safety boot, jeans full kisela kama msela tu wa mjini yupo disorganised anasaidia kupanga macontainer na hapo anatengeneza hela vibaya mno..nikasema nancy ana akili sana wenzangu na mie mnaotungangania kina Yahaya na tai zetu tunafurahije..

Kuna watu wa coz za ardhi pale sijui ma surveyor, artchr,contractr wanapiga hela vibaya mno lakini wapo lafu,

Kuna wauza mitumba, wauza vifaa vya magari gerezani, wana hela vibaya mno but ukiwakuta kazini unafikiri waganga njaa tu nenda kaone maisha yao na familia zao utakimbia
dah! ndugu umeongea ukweli sana, hasa hapo penye nyekundu, mimi ninayetokea ardhi halafu surveyor nimekuelewa sana!
 
Ewaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
Sasa hapo itakuwa sawa maana tukiongea kiutu uzima watoto hawataelewa ....!!!!!

Hebu akuje huku fasitaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!


Watoto wengi muda huu wamelala si unajua jana wengine walikuwa club wanaamka saa sita muda wao bado so awe huru tuu
 
6a00d8341cabab53ef0133f1e29552970b-pi

Haswaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom