Kazi yangu ni kutafutia watu wachumba

Kazi yangu ni kutafutia watu wachumba

Mmmh nshakujua we wa redio... Nshakusikia!! Wasisahau kukutmia na vocha
 
Kuna njia nyingi sana za ujasusi uchwara
 
Huyu jamaa yupo planet fm kule moro. Ni kweli anajtahd kuconnect ila smtmz anacharge 1000 kama kiingilio so ni km bzness flani!
Hata babu wa Loliondo alisema anatoa msaada lkn zile jerojero zmemfanya aishi vzr!
 
kuna radio moja sitaitaja huwa ninafanya kazi ya kuunganisha watu ambao hawajaoa au kuolewa na kupata wenzi wao.unachofanya ni kutuma wasifu wako,kazi au unajishughulisha na nin! Unaemtaka aweje na awe mkoa gani.lengo langu si uzinzi hapana,kwani kupitia huduma yangu ndoa tatu zimefungwa mwaka jana.ukintumia wasifu wako na unaemtaka mimi ntakuunganisha na anaekufaa kwa walionitumia.nimeona msipitwe na hili kama upo tayari ni pm,huduma ni bure ila asante pia inaruhusiwa.
By sam love a.k.a connector
naitwa b;real...kibaka mstaafu,nishaaka sana jela south,msumbiji na tanzania,nisha choma watu sana bisibisi na visu,baada ya maasi mengi nikaamua kubadili mwenendo wangu,nikaaza kujiingiza kwenye dini ya maraster na kuamua kuwa rasterman kutokana na tabia yangu ya zamani videmu vingi vimekuwa vinanikimbia na kuzani mi bado bedui kama msomali.sasa kwa kuwa we nikonecta embu nikonectii na demu mmoja awe m atown,maisha magumu,
 
Me natafuta sharti awe mjumbe wa bunge la katiba only kwa siku 90 tu baada ya hapo hakuna uhusiano

Just for love
 
kwann usipate mkuu? we tangaza nia tu, pm zitamiminika, kazi itakuwa kwako tu kufanya shortlisting na kupata mmoja maridadi sana.
kwahiyo namimi naweza pata
 
Ha ha ha ha Sam tangu ujiseme upo single unahangaika kweli
kwahiyo umekuwa kama mganga una
jitangaza unawapa watu utajiri wakati we unalala kwenye kibanda kama njiwa
 
Asante inaruhusiwa .....umenichekesha sana,mkuu lazima utoke bonge la ubunifu
 
Eti kaka nikitaka yule wa kubadilishana nae mawazo tu naweza kupata hiyo huduma pia?
 
Kwa sura ya avatar yako hilo jukumu ni saizi yako mkuu.
Komaa kama inalipa.
 
Kuna radio moja sitaitaja huwa ninafanya kazi ya kuunganisha watu ambao hawajaoa au kuolewa na kupata wenzi wao.Unachofanya ni kutuma wasifu wako,kazi au unajishughulisha na nin! Unaemtaka aweje na awe mkoa gani.Lengo langu si uzinzi hapana,kwani kupitia huduma yangu ndoa tatu zimefungwa mwaka jana.Ukintumia wasifu wako na unaemtaka mimi ntakuunganisha na anaekufaa kwa walionitumia.NIMEONA MSIPITWE NA HILI KAMA UPO TAYARI NI PM,HUDUMA NI BURE ILA ASANTE PIA INARUHUSIWA.
By Sam Love A.K.A CONNECTOR

Kuna jamaa alikuwa anatoa huduma kama hy aliwalaje warembo loh!
 
Duu wewe ni noma, yani kule love connects umejaza threads zako za kutafuta wachumba, halafu leo unatudanganya kua unafanya kazi ya kutafutia watu wachumba redioni? si useme tu kua bado unatafuta mchumba?
 
Back
Top Bottom