tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
Ha ha ha ha Sam tangu ujiseme upo single unahangaika kweli
kwahiyo umekuwa kama mganga una
jitangaza unawapa watu utajiri wakati we unalala kwenye kibanda kama njiwa
Ahahahaha...bora umenisaidia
Ha ha ha ha Sam tangu ujiseme upo single unahangaika kweli
kwahiyo umekuwa kama mganga una
jitangaza unawapa watu utajiri wakati we unalala kwenye kibanda kama njiwa
Ahahahaha...bora umenisaidia
Na wewe asante kwa Promo.Kuna radio moja sitaitaja huwa ninafanya kazi ya kuunganisha watu ambao hawajaoa au kuolewa na kupata wenzi wao.Unachofanya ni kutuma wasifu wako,kazi au unajishughulisha na nin! Unaemtaka aweje na awe mkoa gani.Lengo langu si uzinzi hapana,kwani kupitia huduma yangu ndoa tatu zimefungwa mwaka jana.Ukintumia wasifu wako na unaemtaka mimi ntakuunganisha na anaekufaa kwa walionitumia.NIMEONA MSIPITWE NA HILI KAMA UPO TAYARI NI PM,HUDUMA NI BURE ILA ASANTE PIA INARUHUSIWA. By Sam Love A.K.A CONNECTOR