Kazi yangu ni kutafutia watu wachumba

Kazi yangu ni kutafutia watu wachumba

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Kuna radio moja sitaitaja huwa ninafanya kazi ya kuunganisha watu ambao hawajaoa au kuolewa na kupata wenzi wao.Unachofanya ni kutuma wasifu wako,kazi au unajishughulisha na nin! Unaemtaka aweje na awe mkoa gani.Lengo langu si uzinzi hapana,kwani kupitia huduma yangu ndoa tatu zimefungwa mwaka jana.Ukintumia wasifu wako na unaemtaka mimi ntakuunganisha na anaekufaa kwa walionitumia.NIMEONA MSIPITWE NA HILI KAMA UPO TAYARI NI PM,HUDUMA NI BURE ILA ASANTE PIA INARUHUSIWA.
By Sam Love A.K.A CONNECTOR
 
Umeingia katika orodha ya waburudishaji wa MMU
 
huna lolote, janja ya nyani tu
 
Ungeweka hao uliowaunganisha ili tuwajue na ikiwezekana wenyewe watoe ushuhuda wao wenyewe. kwa kufanya hivyo hata profile yao ingeonekana safi na wenye shida hiyo labda wangekuwa na moyo wa imani juu yako. Lakini usisahau hapa jf kuna love connect ambayo iko active 24hrs, 7 etc. Any way all the best
 
Kwa hiyo hii ni kazi inayokuweka mjini?
Ulisomea wapi hii kazi,field ulifanyia wapi na maslahi yakoje labda?
 
Kama unabeza we beza tu ila ambao wapo serious wamentafuta
 
Mpaka mtu aamue,mbna wewe hujawah mtaja mkeo humu
Ungeweka hao uliowaunganisha ili tuwajue na ikiwezekana wenyewe watoe ushuhuda wao wenyewe. kwa kufanya hivyo hata profile yao ingeonekana safi na wenye shida hiyo labda wangekuwa na moyo wa imani juu yako. Lakini usisahau hapa jf kuna love connect ambayo iko active 24hrs, 7 etc. Any way all the best
 
Kuna radio moja sitaitaja huwa ninafanya kazi ya kuunganisha watu ambao hawajaoa au kuolewa na kupata wenzi wao.Unachofanya ni kutuma wasifu wako,kazi au unajishughulisha na nin! Unaemtaka aweje na awe mkoa gani.Lengo langu si uzinzi hapana,kwani kupitia huduma yangu ndoa tatu zimefungwa mwaka jana.Ukintumia wasifu wako na unaemtaka mimi ntakuunganisha na anaekufaa kwa walionitumia.NIMEONA MSIPITWE NA HILI KAMA UPO TAYARI NI PM,HUDUMA NI BURE ILA ASANTE PIA INARUHUSIWA.
By Sam Love A.K.A CONNECTOR

Radio gani ya siri hiyo?? Wewe unataka wanawake ujue kazi zao kisha uchague mwenye kazi nzuri ujipendekeze kwake akuowe na kukulea nyambaf wee! Tafuta kazi kijana utaolewa mjini ohoo!
 
Kampuni yako imesajiliwa? Kodi nayo unalipa? Unatoa guarantee ya muda gani ya bidhaa zako?
 
Kwan sisi tumekuwa vipofu hatuoni wadada wazuri? Nenda ukawe coward wa wabunge huko!
 
Back
Top Bottom