Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,536
- 139,845
tundu lisu anafuata nyayo za zito kabwe
haaah,haah matapeli mnapata tabu siku hizi,mana kila mtu mjuaji!
tundu lisu anafuata nyayo za zito kabwe
zito anaongoza kwa akili chadema, halafu anafuata tundu lisu
haaah,haah matapeli mnapata tabu siku hizi,mana kila mtu mjuaji!
nakumbuka Tundu Lisu aliwahi kumchana Zitto kuwa ana mabwana ambao ni CCM
Mama nataka nikugonge another round....unasemaje mama watoto
.....amekuwa akiwa wa kwanza kuanzia shule ya msingi kwao Singida,sekondari Ilboru na Gallanos,Vyuo vikuu DSM na Wawickh.Ana akili isiyo ya kawaida na uwezo wake ktk kuelewa mambo si wa kawaida.Ni tunu ya taifa.
hotuba yote alioisoma tundu.lisu jana iliandaliwa na msomi zito kabwe
Hapa anazungumziwa Mungu aliyetajwa katika yohana 17:3.
Maana miungu wako wengi bali Mungu wa pekee na wa kweli ni mmoja tu.
hivi mumeo anajisikiaje unavyomsifia mwanaume mwenzake hivyo? au ndio mume zuzu