Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kweli kabisa, Kamanda Tundu Lissu ni ishara ya Uwepo wa Mungu CHADEMA, kwani Mungu husimama na wanaopenda haki kama Lissu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mwanachama wa CHADEMA but I do not subscribe to this (in red). Mungu hajaleta chama chochote ila anafanya kazi na wote wanaosimamia haki maana Yeye (Mungu) ni mwenye haki.

Hakika Mungu ni Mpenda Haki.
CHADEMA ni wapenda na watenda haki
CHADEMA wana Mungu...
 
very true..maneno yako yamenipa faraja...naipenda tanzania yetu
 
Wakuu JF, Amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Sina Mengi, Najua kuwa wale Buku 7, Lumumbar Project, Wakiongozwa na Senior Lumumba Buku 7 Project, Ritz , watakuja na Povu, Mkia Juu
Katika Kutaka Ku Justify kwa Ma Boss wao jinsi Cash advance (One Month) walizoepewa tayari vile Zinafanya Kazi.


Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla

Mwambie kwanza aajiri dereva na ampe Mkataba wa kazi kwa maana analipwa fedha kwa ajili hiyo, na huo umungu wake uanzie hapo, sio maneno tu, kuongea kila mtu anaweza!

 
Mwambie kwanza aajiri dereva na ampe Mkataba wa kazi kwa maana analipwa fedha kwa ajili hiyo, na huo umungu wake uanzie hapo, sio maneno tu, kuongea kila mtu anaweza!


This is too low.
Jaribun basi hata kuitendea haki Buku 7 Ya Lumumba jaman.
 
Mungu mara nyingi hutumia vitu mnavyoviona vidhaifu kujidhihirisha. Kama watu wanavyoona CDM hakiwezi siku moja Mungu atawatumia kuweza. Note this!!!
 
mwaka 2010 wakati wa kampeni Dk.Slaa aliwaambia wapiga kura wa Singida Mashariki wamchague Lissu awe mbunge kwasababu ndiye atakayekuwa mrithi wake bungeni.

mwaka 2010 wakati wa kampeni Jakaya Kikwete alisema ni heri Dk.Slaa achaguliwe kuwa rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge.
 
Jamani Great Thinkers,

Naomba kumfahamu mtu huyu zaidi kutoka kwa mtu aliye na Biograph yake vuzuri. Tundu Lissu Baada ya Masomo yake Pale UDSM na master yake kule ugaibuni alikuwa anafanya kazi wapi? Kesi zipi kubwa za kimataifa alizowahi kushinda? Kwa sababu ninavyomwangalia anaulewa mpana sana juu ya mambo ya Kisheria na mara nyingi hoja anazozitoa kabla ya hukumu na Majaji wengi wa Tanzania naona wanaridhika nazo inavyoonesha anajua sana mambo ya kisheria na ndo maana kesi zake nyingi anashinda. Serikali kwa nini wasiwe na washeria weledi kama huyu ili kabla ya kufungua kesi wawashauri vizuri? Hii itaepusha kuwa na kesi za kijinga mahakamani zisizo na maana. Au Tundu Lissu anakuwa anang'aa zaidi kwa sababu mara nyingi anakuwa upande wa utetezi. Katika Tasnia ya Sheria upi ni upande mgumu, upande wa mtetezi au mshitaki?
 
Vibrant Mp.Hawezi kuhongwa,hana price tag.Ni msomi mzuri,asiye na chembe ya unafiki.
 
  • Thanks
Reactions: mij
lissu ni kiongoz bora...tanzania ya leo tuna paswa kujivunia na mtu kama lissu
 
waungwana jf naomba muelewe mwamba jamaa kumsifia lisu kwamba ni alama ya uwepo wa Mungu sivyo kama mnavyofikiria ninyi jamaa analogic kubwa sana na mm nampongeza lakin ninyi mnaleta tafsili "SI SI SI" Lisu kuwatetea watu ni ishara kwamba anamjua Mungu tofaut na mafsad wanaojifanya kana kwamba hawayajui mafundisho ya dini zao. NAPITA TUU...
 
MSOMI, MWANAHARAKATI, AKILI NYINGI, ni ICON NZURI SANA KWA CDM NA NCHI KWA UJUMLA, sio VILAZA WA CCM kazi yao kusema ndiooooooooooooooooo!!!!!!! bila ya ku reason, AKILI YA MH.ADVOCATE TUNDU LISSU ni sawa NA WABUNGE 100 wa ccm!!!!!!
 
thread ipo kidini zaidi,sijui mungu gani mnaemzungumzia hapa


Hapa anazungumziwa Mungu aliyetajwa katika yohana 17:3.
Maana miungu wako wengi bali Mungu wa pekee na wa kweli ni mmoja tu.
 
Back
Top Bottom