Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,105
Vitu nyeti zaidi ya nyeti za binadamu.
mmmhh, mtu akifanya vizuri lazima haki yake apewe,huyu jamaa kwanza hoja zake ziko shule na huwa hazipauki kama wenzetu wa CCM,KIUKWELI tundu anatisha ndo maana kila siku huundiwa zengwe!!!!!1keep it up LISU!!!1
Vitu nyeti zaidi ya nyeti za binadamu.
Yupo Andrew Chenge,mwanasheria mahiri,graduate wa Harvard University.mwana9232979 said:Najiuliza sisi Wasukuma taifa kubwa Mungu ametunyima nini kutupa akina Lissu?taifa hili lingekombolewa kitambo toka kwa magamba na wakoloni hawa weusi wasio na aibu!
hivi mumeo anajisikiaje unavyomsifia mwanaume mwenzake hivyo? au ndio mume zuzu
Ningekua sijaolewaa ningeruhusu atuoe mi na wewe ,wewe uwe mke mdogo
kumbe wewe shida yako ni Nyerere, ndo maana vipost vyako sio vya ki Lumumba?
...Dinazarde Heshima kwako huyo mburura hatarudia tena!!!
kama umeolewa huyo mume wako kala hasara..muda wote huko jf sijui unamuhudumia na kumpikia mumeo saa ngapi... nyie ndio mnaowaachia kazi zote housegirl mpaka anakuwa mke mwenzio..
Well, hizo zote ni zake na zinamsaidia mwenyewe na dada'ke aliyemuingiza bungeni kiupendeleo.
Nilichofurahi leo ni kuwa kakiri na kuudhihirishia umma kuwa Nyerere alikuwa mwongo na ndumila kuwili, gazeti la Uingereza kawaambia vingine, huku akaja akafanya mengine.
Huyo ndio Nyerere.
Mama usiwe mchoyo wa sifa pale mtu anapostahili. Hata wewe wenda unamazuri yako na hatuna budi kukupa sifa kama yapo.