Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Lisu is the man of the day,mpende msipende,the guy is good upstairs,
Bravo comrade lisu
Bravo comrade lisu
viva lissu, the gift from our almighty God to save poor tanzanians.
akiongea lissu mvua inamwagika na kuzima mitambo ya tbccm!
Acha kabisaaaa hadii vichwaa vinaumaaa
Ivi Mwakyembe amemjibu Prof.Tundu Lissu?mana duuh,sijui Lisu alichimbuaje haya mambo
Nashauri ufanyie editing heading na hayo maneno kwenye red - kutumwa na Mungu sio kuwa alama ya uwepo wa Mungu. Kama CHADEMA inamtegemea Mungu hata akiondoka Tundu Lissu bado CHADEMA itaendelea kumtegemea Mungu. Kwa kifupi hayo maneno 'are theologically unsound'.
Kiboko yake Alberto Msando tu....
Sasa yeye ni shoga unataka asiwe kama shoga vipi tena?
Si shida yangu pekee, ya kila Mtanganyika anaeitaka Tanganyika huru, au wewe hupati shida kwa Nyerere kuiuwa Tanganyika na kudanganya miaka nenda miaka rudi kuhusu muungano? Tundu Lissu leo uzalendo wa kumsifu Nyerere umemshinda. Hapo ndipo paliponikosha mimi.