Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kwa wapenda mabadiliko na maendekeo si vema kuacha kutiana moyo katika mapambano.Askali anapobomoa ngome ya adui anastahili kupongezwavna kutiwa moyo.
Kwa kazi kuu na nzito aliyofamya mh.Lissu akiwasilusha mawazo ya wasomi na wazalendo anastahili pongezi za dhati.
Hotuba yakevni ya kwanza tangu misingi ya nchi hii iwekwe.Nampongeza kwa dhati.
Naahidi kumuunga mkono kwa vitendo si maneno.

Viva Lissu Viva chadema Viva wanachadema na makamanda.
God's case never cease.
 
Umesahu kuipongeza UKAWA pia kwani alichokiwasilisha LISSU kinasimama katika muungano huu. Asante Tundu Lissu kwa kuvaa uzalendo wa nchi yako na watu wake na nina hakika umeingia katika Historia ya Taifa hili kwani hujuma za TBCCM zimekupaisha na kuishusha CCM na hoja zao.
 
Niko najiuliza, yule gwiji la katiba Hayati Dr Mvungi, alikuwa na msimamo gani kuhusu katiba ya muungano?? Aulizaye anataka kujua.
 
Wakuu ntaipata wapi hii hotuba kwa ukamilifu, mwenye link ya hotuba nzima please nipe
 
Kwa wapenda mabadiliko na maendekeo si vema kuacha kutiana moyo katika mapambano.Askali anapobomoa ngome ya adui anastahili kupongezwavna kutiwa moyo.
Kwa kazi kuu na nzito aliyofamya mh.Lissu akiwasilusha mawazo ya wasomi na wazalendo anastahili pongezi za dhati.
Hotuba yakevni ya kwanza tangu misingi ya nchi hii iwekwe.Nampongeza kwa dhati.
Naahidi kumuunga mkono kwa vitendo si maneno.

Viva Lissu Viva chadema Viva wanachadema na makamanda.
God's case never cease.

Tundu Lisu ndo Chadema na Chadema ndo Tindu Lisu kwa sasa inabidi apewe uenyekiti.
 
Nampongeza sana Mh. Tundu Lissu kwa kuiambia dunia rasmi kuwa hakuna uhalali wa TANZANIA kisiasa.

Kwa ushahidi aliyotuonyesha TL hatua inayofuata ni kujiweka tayari ikiwa maccm watatunyima tanganyika yetu tukaidai UN.
Nao maccm waambiwe bayana.
 
Lisu ni tishio tanzania mwiba wa kuichoma ccm mwanasheria wa hatari hata mwanasheria wa serikali anamkubali mbaya mungu ampe uzima lisu kiboko ya wanaccm
 
Lao ni propaganda
Tundu Antipas Lissu amewwka bayana mambo mengi ambaya ccm wameyaficha ficha kwa nusu karne
Viva Tundu Lissu, viva UKAWA na viva CHADEMA
 
Tundu Lisu ndo Chadema na Chadema ndo Tindu Lisu kwa sasa inabidi apewe uenyekiti.

Nina uhakika Mh. Mbowe ataunga mkono hoja hii bila kusita kwani chama kitakuwa kimebaki katika mikono salama tofauti na wale mbwa mwitu.
 
Ilikuwa ni kosa la kiufundi kususia Bunge Maalum kama Mh. Lema alivyotaka kufanya. Yote haya yasingejulikana na nadhani CCM walikuwa wanaomba iwe hivyo wapate sababu. Bravo UKAWA.
 
Tundu Lisu ndo Chadema na Chadema ndo Tindu Lisu kwa sasa inabidi apewe uenyekiti.

Tundu lisu hana mvuto kwa wananchi, yeye angefaa sana pale Ufipa kama mkurugenzi wa sheria, akikutana na wananchi atawaambia nini? Lisu anaweza kusimama peke yake nje ya Singida kama afanyavyo zito!
 
Wakuu JF, Amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla

=================================
Hili la Dodoma linazidi kunifanya niamini kuwa Lissu ni Zaid ya Nabii kwa wa Tanzania

=================================

Ushahidi zaidi.
=======================

Kwa yanayojiri Dodoma kwa wale tunaofuatilia Bunge Maalum la Katiba bila kuweka ushabiki na unazi wa Kichama.
Huyu Jamaa ni Nguli na Gwiji Kabisa katika tasnia ya Sheria, ameonesha kuzielewa,kuzi mastaer na kuweza kuzi tafsiri vyema kabisa kanuni za uendehsaji wa Bunge la katiba based on Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
Lissu ameendelea kuwafumbua macho watu wengi waliokuwa wanashadadia kwenye kupitisha vifungu vya Kipuuzi kabisa kwenye Sheria ya Mabadiliko ya Katba bila kujua Madhara yake kwenye utekelezaji wake.
Tunaona sasa ni jinsi gani Kanuni zenye afya kabisa zinashindwa kuwa accomodated kwenye kanuni za uendeshaji wa Bunge la Katiba kwa kuji contradict na Sheria Mama ya Mabadiliko ya Katiba.
Mungu Mbariki tundu Lissu.
============================

Ushuhuda wa Dhahiri.

Leo tumeona Gamba moja wapo Sugu kabisa Ole Sendeka liki mu appreciate Mh Lissu na kumuomba Rais JK amteue Mh Lissu kuwa waziri wa Sheria...
Hii ina Maana kuwa wote waliowahi kushika wadhifa wa uwaziri wa Sheria including Mama yetu yule anayesemekana ku Prove failure UN kuwa si lolote si chochote mbele ya Mh Lissu.

Na Bado
=============================



Waone Pasco, Zogwale, MTAZAMO, Mimibaba Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, Invisible Mungi Arushaone mwanampotevu , bila kuwahasu wanazi wa ACT (Allience for Cowards and tratitors) betlehem , Dotto C. Rangimoto , Boko harama na wale wa Buku 7 FC Wakiongozwa na Ritz

=========================
Jana katika Bunge Maalum la Katiba imedhidi kudhihirika ni kwa namna gani huyu jamaa ni Tunu kwa taifa letu.

SIMBA WA TBCCCCM akiongea akiwa live lazima mitambo ishindwe kuhimili mawimbi;;;;;;;; BORA DR. SLAAA AWE RAIS KULIKO TUNDU ANTIPAS LISSU KUWA MBUNGE
 
Wakuu.
Halafu kuna uwezekano kuwa hata most of ma CCM hayakuwa aware na uharamu wa huu Muungano.
Nadhan jana Lissu amefungua macho na masikio ya hata ma CCM ambayo yalikuwa yanashadadia kitu ambacho hata yalikuwa hayakijui undani wake.
 
Professor Lissu Antiphas Mughwai Tundu,Jina hili napendekeza litumike Prof Lissu.
Anastahili hii heshima ni zaidi ya maprofssor 1500 wa ccm.
Kwa mtu mfuatiliaji wa maswala ya kisheria hapa tanzania hadi sasa hakuna mwenye kiwango cha huyu Prof Tundu Lissu;


9k=
 
Kama wanamuziki nao ni maprofesa na wengine ni madaktari hakika kwa Tundu Lissu ni jambo lisiloshindikana. Muda ukifika ataupata kweli huo uprofesa !
 
Ila zile nondo za jana nilibaki nineduwaa ..nimejya mengi yalivyokuwa yakipindishwa na ccm
Yaani Mwakyembe naona na yy alibaki mdomo wazi alipoambiwa ukweli kwa unafiki wake

Lissu ia the best
 
Ilikuwa ni kosa la kiufundi kususia Bunge Maalum kama Mh. Lema alivyotaka kufanya. Yote haya yasingejulikana na nadhani CCM walikuwa wanaomba iwe hivyo wapate sababu. Bravo UKAWA.

Naamini Mda wa KusuSia bado, Wakati utafika na idabidi iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom