Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

kama umeolewa huyo mume wako kala hasara..muda wote huko jf sijui unamuhudumia na kumpikia mumeo saa ngapi... nyie ndio mnaowaachia kazi zote housegirl mpaka anakuwa mke mwenzio..

Hata we mmeo ana hasaraa muda wote unashinda humu halaf hata housegirl hunaa,mimi kazi yangu kukaa na kuzaa basi sijaolewa ili nipike au nifuee
 
kwakweli leo nimemdhalau kigwangwala Hamis eti naye docta.
 
Well, hizo zote ni zake na zinamsaidia mwenyewe na dada'ke aliyemuingiza bungeni kiupendeleo.

Nilichofurahi leo ni kuwa kakiri na kuudhihirishia umma kuwa Nyerere alikuwa mwongo na ndumila kuwili, gazeti la Uingereza kawaambia vingine, huku akaja akafanya mengine.

Huyo ndio Nyerere.
 
eti lile bichwa dafu nchemba linataka kujiweka level moja na huyu law genius,bilal,jk,werema,lukuvi,pinda,wasira akili zao combined hazifiki nusu ya akili ya lissu

Naogopa kusema chochote maana ukweli uko wazi jamaaa anaakili za ziada mtetezi wa wanyonge miaka yote hata kabla hajawa CHADEMA kumbuka mgogoro wa buzwagi
 
Hakika nawafurahia sana wananchi wa Singida Mashariki. Wametupatia hazina ya ajabu; Mungu awabariki sana.

Anastahili kuitwa Prof. Tundu Lisu maana ni zaidi ya profs, zaidi ya Phd's, sio kama kilaza jk anatongoza kupewa phd.
 
...alafu eti kigwangala anajifanya anataka kumfunika kwa hoja zake uchwara. Lisu ni namba nyingine kabisa,hata shivji anasubiri kwa uwezo wa lisu....
 
Anayemsifia kichaa, anahitajika kuchunguzwa akili yake!. TUNDU LISSU Ni punguani SI mzima asilani
 
mmmhh, mtu akifanya vizuri lazima haki yake apewe,huyu jamaa kwanza hoja zake ziko shule na huwa hazipauki kama wenzetu wa CCM,KIUKWELI tundu anatisha ndo maana kila siku huundiwa zengwe!!!!!1keep it up LISU!!!1
 
Back
Top Bottom