Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Lissu yupo toFauti sana na Wanyeramba wenzake kama mwigulu na nyalandu
 
Namkubali sana Mhe. Tundu Lissu
Naombeni mnisaidie hotuba aliyoitoa inapatikana wapi?
TBC walizima mitambo yao hatukuisikia.
 
wao wanacheza kombolela sisi tunasonga mbele kuhakikisha tunapata katiba bora.mungu ibariki tanzania mungu bariki ukawa pale bungeni.
 
Tanzania ya kesho jiwe la msingi kadondosha lissu, hongera mwana wa antipas mungu akuliende wewe na wadanfanyika wengine waanze kuyaona maisha katika mwanga
 
1. Zanzibar haijawahi kuridhia Muungano na kwa hivyo Hati ya Makubaliano ya Muungano [yenye saini ya kughushi] si halali

2. Nchi ya Tanzania ina wakuu wa nchi na maamiri-jeshi wakuu wawili na kwa hivyo ina mgogoro wa kikatiba uliozaliwa na mfumo wa serikali mbili

3. Mwl Nyerere alitumia 'decrees' katika nchi ya kidemokrasia kuzifanya taasisi na alama za Tanganyika zibebe sura ya Tanzania kinyume cha katiba na sheria

4. Nchi hii ni "haramu" kwa kuwa uanzishwaji wake haukuzingatia utaratibu wa kuridhia sheria ya kimataifa (ratification of international treaty) na ndio sababu haijasajiliwa UN

5. Kwa kushindwa kuyapinga maneno ya Tundu Lissu kwamba yeye (Dk. Mwakyembe) aliandika mwaka 1995 kwamba MUUNGANO WA SERIKALI TATU NDIO NJIA PEKEE ILIYOBAKI kuunusuru muungano wa Tanzania, hakika huo ndio ukweli wa mambo na ndio sababu HAUKANUSHIKI
 
...

.......Hizo ni nondo nzito ccm hawana uwezo wa kuzijibu Mkuu !!!

moto wa mabuwa haukeshi......wametoa mipasho mpaka wamechoka.....
 
Hiyo hoja namba 3 ilinukuliwa kwenye kitabu cha Msekwa, lakini cha ajabu CCM hawataki kusema kuwa aliyemvunjia heshima Nyerere ni Msekwa na si Tundu Lissu (ikiwa kweli kavunjiwa heshima).
 
Lisu hajawahi kutoa hoja yoyote akiwa bungeni au popote zaidi ya matusi na kuruka bungeni sijui wewe unalenga hoja zipi hapa hakuna hoja zaidi ya kutunga maneno na kufanya ya kweli.
 
1. Zanzibar haijawahi kuridhia Muungano na kwa hivyo Hati ya Makubaliano ya Muungano [yenye saini ya kughushi] si halali

2. Nchi ya Tanzania ina wakuu wa nchi na maamiri-jeshi wakuu wawili na kwa hivyo ina mgogoro wa kikatiba uliozaliwa na mfumo wa serikali mbili

3. Mwl Nyerere alitumia 'decrees' katika nchi ya kidemokrasia kuzifanya taasisi na alama za Tanganyika zibebe sura ya Tanzania kinyume cha katiba na sheria

4. Nchi hii ni "haramu" kwa kuwa uanzishwaji wake haukuzingatia utaratibu wa kuridhia sheria ya kimataifa (ratification of international treaty) na ndio sababu haijasajiliwa UN

5. Kwa kushindwa kuyapinga maneno ya Tundu Lissu kwamba yeye (Dk. Mwakyembe) aliandika mwaka 1995 kwamba MUUNGANO WA SERIKALI TATU NDIO NJIA PEKEE ILIYOBAKI kuunusuru muungano wa Tanzania, hakika huo ndio ukweli wa mambo na ndio sababu HAUKANUSHIKI
Halafu na wewe unajiita unaakili sawa wakati hata unachoandika hujui chimbuko lake kama ungekuwa na akili kweli ungemwelewa mwakyembe jana lakini kwakuwa ni mhangaikakaji hata hujui undani wa haya masuala ngoja tukuache upuyange.
 
Lisu hajawahi kutoa hoja yoyote akiwa bungeni au popote zaidi ya matusi na kuruka bungeni sijui wewe unalenga hoja zipi hapa hakuna hoja zaidi ya kutunga maneno na kufanya ya kweli.

Kwa hiyo hoja kwako ni nini maana hizo zote alizitoa bungeni unasema hajawahi kutoa kweli ukiwa unatumika akili unazikalia unafikiri kutumia tumbo labda kidogo na makali...
 
Ntarahamwe yakiwa bungeni kazi yanayoifanya ni kutukana tu..
 
Wakuu JF, Amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla

=================================
Hili la Dodoma linazidi kunifanya niamini kuwa Lissu ni Zaid ya Nabii kwa wa Tanzania

=================================

Ushahidi zaidi.
=======================

Kwa yanayojiri Dodoma kwa wale tunaofuatilia Bunge Maalum la Katiba bila kuweka ushabiki na unazi wa Kichama.
Huyu Jamaa ni Nguli na Gwiji Kabisa katika tasnia ya Sheria, ameonesha kuzielewa,kuzi mastaer na kuweza kuzi tafsiri vyema kabisa kanuni za uendehsaji wa Bunge la katiba based on Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
Lissu ameendelea kuwafumbua macho watu wengi waliokuwa wanashadadia kwenye kupitisha vifungu vya Kipuuzi kabisa kwenye Sheria ya Mabadiliko ya Katba bila kujua Madhara yake kwenye utekelezaji wake.
Tunaona sasa ni jinsi gani Kanuni zenye afya kabisa zinashindwa kuwa accomodated kwenye kanuni za uendeshaji wa Bunge la Katiba kwa kuji contradict na Sheria Mama ya Mabadiliko ya Katiba.
Mungu Mbariki tundu Lissu.
============================

Ushuhuda wa Dhahiri.

Leo tumeona Gamba moja wapo Sugu kabisa Ole Sendeka liki mu appreciate Mh Lissu na kumuomba Rais JK amteue Mh Lissu kuwa waziri wa Sheria...
Hii ina Maana kuwa wote waliowahi kushika wadhifa wa uwaziri wa Sheria including Mama yetu yule anayesemekana ku Prove failure UN kuwa si lolote si chochote mbele ya Mh Lissu.

Na Bado
=============================



Waone Pasco, Zogwale, MTAZAMO, Mimibaba Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, Invisible Mungi Arushaone mwanampotevu , bila kuwahasu wanazi wa ACT (Allience for Cowards and tratitors) betlehem , Dotto C. Rangimoto , Boko harama na wale wa Buku 7 FC Wakiongozwa na Ritz

=========================
Jana katika Bunge Maalum la Katiba imedhidi kudhihirika ni kwa namna gani huyu jamaa ni Tunu kwa taifa letu.
katiba ya ccm tutakayoletewa kutoka Dodoma wananchi wengi tumeisha ikataa kabla haijaja mbele yetu,bora tu,muondoke dodoma
 
Halafu na wewe unajiita unaakili sawa wakati hata unachoandika hujui chimbuko lake kama ungekuwa na akili kweli ungemwelewa mwakyembe jana lakini kwakuwa ni mhangaikakaji hata hujui undani wa haya masuala ngoja tukuache upuyange.

Una mapenzi kama ya "mke mwema". Unajua maana yake? Ni kwamba mke mwema lolote alisemalo mume yeye anaitikia "hewala bwana" hata kama anadanganywa. Hivyo mapenzi yako kwa Mwakyembe na CCM kwa ujumla ni ya " mke mwema" lolote lile mradi linahusu CCM wala hushughulishi kichwa ( kama kinafanya kazi lakini) bali unasema "hewala bwana"


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mleta mada huna nidhamu, kumsifia lissu. Inawezekana hujajua watu wenye uwezo wa kufikiri, lissu ni mlopokaji
 
wakuu jf, amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga namuangalia lissu, the way anavyojengaga hoja, the way anavyopanguaga hoja, hasa hasa zile hoja za kutungwa na watu wenye roho za kishetani, sina haja ya kuwataja, mnawafahamu nina uhakika,the way anavyojielezea mbele za watu na mbele ya kadamnasi kwa ujumla.
Na pia, kila nikiangalia kazi za mikono ya na kichwa cha lissu, matokeo yake yanadhihirisha huyu kamanda ametumwa na mungu.
Kama nikiorodhesha kazi alizo zifanya lissu, nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Ila hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, tundu antipasi m lissu ni alama ya uwepo wa mungu chadema , tanzania na duniani kwa ujumla

=================================
hili la dodoma linazidi kunifanya niamini kuwa lissu ni zaid ya nabii kwa wa tanzania

=================================

ushahidi zaidi.
=======================

kwa yanayojiri dodoma kwa wale tunaofuatilia bunge maalum la katiba bila kuweka ushabiki na unazi wa kichama.
Huyu jamaa ni nguli na gwiji kabisa katika tasnia ya sheria, ameonesha kuzielewa,kuzi mastaer na kuweza kuzi tafsiri vyema kabisa kanuni za uendehsaji wa bunge la katiba based on sheria ya mabadiliko ya katiba.
Lissu ameendelea kuwafumbua macho watu wengi waliokuwa wanashadadia kwenye kupitisha vifungu vya kipuuzi kabisa kwenye sheria ya mabadiliko ya katba bila kujua madhara yake kwenye utekelezaji wake.
Tunaona sasa ni jinsi gani kanuni zenye afya kabisa zinashindwa kuwa accomodated kwenye kanuni za uendeshaji wa bunge la katiba kwa kuji contradict na sheria mama ya mabadiliko ya katiba.
Mungu mbariki tundu lissu.
============================

ushuhuda wa dhahiri.

Leo tumeona gamba moja wapo sugu kabisa ole sendeka liki mu appreciate mh lissu na kumuomba rais jk amteue mh lissu kuwa waziri wa sheria...
Hii ina maana kuwa wote waliowahi kushika wadhifa wa uwaziri wa sheria including mama yetu yule anayesemekana ku prove failure un kuwa si lolote si chochote mbele ya mh lissu.

Na bado
=============================



waone pasco, zogwale, mtazamo, mimibaba mchambuzi, mzee mwanakijiji, invisible mungi arushaone mwanampotevu , bila kuwahasu wanazi wa act (allience for cowards and tratitors) betlehem , dotto c. Rangimoto , boko harama na wale wa buku 7 fc wakiongozwa na ritz

=========================
jana katika bunge maalum la katiba imedhidi kudhihirika ni kwa namna gani huyu jamaa ni tunu kwa taifa letu.
mahaba yamekupitiliza nenda basi akuoe
 
Back
Top Bottom