kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
Mtoa mada gongo Ni mbaya kwa afya
Nakubaliana nawe kua Lisu sio nguli wa siasa za tz. Lakini pia kuondoa unafiki nitajie matusi ambayo Lisu amepata kuyatamka bungeni au nje ya bunge na alimtukana nani.
Shida yangu ni kutaka kujua matusi tu ya Lisu.
Masumbuko Lamwai alisha uza utu wake huyo ni njaa kuliko unavyofikilia hafai hata kujadiliwa.Tundu kama tundu hana lolote na hakuna hoja aliyotoa zaidi ya uchochezi, elimu yake ndogo hata walimu wake wamemdharau, alikuwepo Masumbuko Lamwai huyo kweli likuwa anatoa hoja za kisheria huyu ni njaa tu.
Nyerere hakuwa malaika na yeye alikiri kuwa kuna makosa aliyafanya,hatuwezi kusema kuwa alikuwa anajitusi mwenyewe bali huo ndio ubinadamu usiokosa mapungufu.ukisikia tusi ni maneno ya kuhudhi anaposema mwalimu nyerere alikuwa mzushi muongo kigeugeu hajazoweya vya kuchinja bali kunyonga ndugu maneno hayo ni tusi sana kwa mwanadam tusi si maumbile yaliofichika kwa binadam huyo ndio lisu unaemsifu na kumtwisha cv ambazo hana
Mtoa mada gongo Ni mbaya kwa afya
Umemtaja Nnape nikakumbuka kipaji chake cha kuzungumza kwa kulazimisha sauti itoke kwa nguvu kama Mchungaji, sijui ni dini gani yule bwana lakini Uchungaji ungemfaa sana, sio kazi za kutumia ubongo Nnape haziwezi
Nyerere hakuwa malaika na yeye alikiri kuwa kuna makosa aliyafanya,hatuwezi kusema kuwa alikuwa anajitusi mwenyewe bali huo ndio ubinadamu usiokosa mapungufu.
Ikumbukwe yale aliyoyasema juu ya Nyerere,aliyatolea mifano kuyabitisha.
ukisikia tusi ni maneno ya kuudhi anaposema mwalimu nyerere alikuwa mzushi muongo kigeugeu hajazoweya vya kuchinja bali kunyonga ndugu maneno hayo ni tusi sana kwa mwanadam tusi si maumbile yaliofichika kwa binadam huyo ndio lisu unaemsifu na kumtwisha cv ambazo hana
Kwa hiyo Unataka kutuambia kwamba kazi za kichungaji hazitumii ubongo au lengo ni kutushirikisha kitu gani?