Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Wakuu JF, Amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla

mkuu naku unga mkono mia kwa mia na kama tunge kuwa na watu kama hawa watano tu! katika nchi hii...watu kama mwigulu wangejichimbia makaburi wenyewe...
 
Wakati watanzania wengi wamejikita ktk story za Obama binafsi nilikuwa nafikiria ni mtanzania gani anaweza kutondoa kwenye shamba la bibi hili tunaloishi! Ama kweli marais wa marekani wanapishana mitaa ya Dar kuja kujichukukulia kila wanachoona kinafaa. Sikuwahi kusikia katika historia rais aliye madarakani USA na mstaafu wanakutana ktk nchi moja na nchi hiyo haina msiba kwamba labda wameenda kwenye mazishi.

Wakati nafikiria nani atatutoa hapa nikamkumbuka kijana mzalendo wa kweli, mwanaharakati wa kupigiwa mfano na mbunge anayepinga ufisadi toka moyoni na asiyeigiza katika matendo yake. Si mwingine ni Kamanda Lissu, huyu agombee bara na Dr Slaa agombee nafasi ya Muungano. Hii ni kama rasmu ya katiba itapitishwa kama ilivyo. Sababu ninazo nyingi na hizi ni baadhi tu: -

1. Tanzania tunamuhitaji Micheal Satta wetu na Kamanda Lissu na zaidi ya Satta

2. Ikitotokea akashinda bara na Dr Slaa akashinda Muungano mafisadi watahama nchi

3. Ukiondoa unafiki na kutawaliwa na itikadi sioni mtanzania anayeipenda nchi yake atakayemnyima kura (Hata Mwigulu)

4. Dunia nzima itatambua kuwa Tanzania si mahara pa kuchezea tena

5. Utakuwa mwisho wa mikataba ya kinyonyaji kwa nchi yetu.

6. Tutakuwa na mahakama huru

Unaweza kuongeza sifa zaidi!
 
Katika siasa za Tanzania lipo jina TUNDU ANTIPHAS LISSU.Hakuna mtanzania yoyote awe mwanasiasa au la asiyemfahamu walau hata kumsikia.
Nilimfahamu Lissu miaka ya 2000 akiwa mwanaharakati ktk taasisi moja ya kisheria iliyoitwa LEAT akiwa pamoja na msomi wa Havard university,Lugemeleza Nshala na kwenye miaka ya '95 alipogombea ubunge kupitia NCCR-Mageuzi huko kwao Singida.
Tangu nyakati hizo nimekuwa nikisikiliza hoja zake nzito hadi mwaka 2011 nilipoamua kumtafuta ili kuongea naye masuala kadhaa yahusuyo maisha yake na taifa kwa ujumla.Nikiwa pamoja na Lissu,kijana asiye na makuu hata kidogo,mcheshi na mwenye msimamo usioyumba,nilidodosa mambo mengi mojawapo ni kuhusu elimu yake.Kumbe mhesh.huyu tangu akiwa mdogo amekuwa mtetezi wa wanyonge mwenye uwezo wa kushawishi kwa hoja nzito na ktk kila mtihani wowote amekuwa akiwa wa kwanza kuanzia shule ya msingi kwao Singida,sekondari Ilboru na Gallanos,Vyuo vikuu DSM na Wawickh.Ana akili isiyo ya kawaida na uwezo wake ktk kuelewa mambo si wa kawaida.Ni tunu ya taifa.
 
Nilimfahamu Lissu miaka ya 2000 akiwa mwanaharakati ktk taasisi moja ya kisheria iliyoitwa LEAT akiwa pamoja na msomi wa Havard university,Lugemeleza Nshala na kwenye miaka ya 2005 alipogombea ubunge kupitia NCCR-Mageuzi huko kwao Singida.
Tangu nyakati hizo nimekuwa nikisikiliza hoja zake nzito hadi mwaka 2011 nilipoamua kumtafuta ili kuongea naye masuala kadhaa yahusuyo maisha yake na taifa kwa ujumla.Nikiwa pamoja na Lissu,kijana asiye na makuu hata kidogo,mcheshi na mwenye msimamo usioyumba,nilidodosa mambo mengi mojawapo ni kuhusu elimu yake.Kumbe mhesh.huyu tangu akiwa mdogo amekuwa mtetezi wa wanyonge mwenye uwezo wa kushawishi kwa hoja nzito na ktk kila mtihani wowote amekuwa akiwa wa kwanza kuanzia shule ya msingi kwao Singida,sekondari Ilboru na Gallanos,Vyuo vikuu DSM na Wawickh.Ana akili isiyo ya kawaida na uwezo wake ktk kuelewa mambo si wa kawaida.Ni tunu ya taifa.

Mkuu TRIPLE H, ongeza sifa moja; ni mbishi na hakubali kushindwa.
 
Last edited by a moderator:

Kakalende,msimamo maana yake ni kutetea kile unachokiamini hata kwa gharama.Mfano ukiwaambia watu "nina watoto kumi" alafu wao wakakataa utanyamaza mkuu? je,utabishana na watu watakaokuja kwako kutaka kumtenza mama watoto?
 
Last edited by a moderator:
Tundu Lissu ni tunu ya Taifa. Mungu amlinde dhidi ya magaidi, mafisadi na wahuni wengine. Aamin.
 
Wakuu JF, Amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla
Basi huyo Mungu atakuwa dhaifu sana amekubali Chadema kila siku kiwe chama cha upinzani.
 
Umenena kweli. He was instrumental kwenye research yangu moja ya madini, hasa nikijua alikuwa na ufahamu mzuri kwenye utetezi wa artisanal miners (wachimbaji wadogo). Ni mtetezi hasa wa makundi dhaifu. Natamani lawyers wengi wangekuwa kama yeye, sometimes kusimamia haki za watu hata kama malipo yake (personal gains) ni madogo! Pia ni mahili katika kutetea public resources! I like the guy.
Tundu Lissu ni tunu ya Taifa. Mungu amlinde dhidi ya magaidi, mafisadi na wahuni wengine. Aamin.
 
mkuu naku unga mkono mia kwa mia na kama tunge kuwa na watu kama hawa watano tu! katika nchi hii...watu kama mwigulu wangejichimbia makaburi wenyewe...

Nakuunga mkono hoja,ila yuko kwenye wrong crowd,angewafundisha wenzake kujenga hoja na kufuata taratibu zilizopo bila kufanya fujo. Inawia ugumu wengi kuwasupport fully chadema kwa sababu ya vurugu na sintofahamu ya wengi wa viongozi wenu. So far ni wachache,kama Lissu,Zito ndio wanaoaminika.
 
Katika siasa za Tanzania lipo jina TUNDU ANTIPHAS LISSU.Hakuna mtanzania yoyote awe mwanasiasa au la asiyemfahamu walau hata kumsikia.
Nilimfahamu Lissu miaka ya 2000 akiwa mwanaharakati ktk taasisi moja ya kisheria iliyoitwa LEAT akiwa pamoja na msomi wa Havard university,Lugemeleza Nshala na kwenye miaka ya '95 alipogombea ubunge kupitia NCCR-Mageuzi huko kwao Singida.
Tangu nyakati hizo nimekuwa nikisikiliza hoja zake nzito hadi mwaka 2011 nilipoamua kumtafuta ili kuongea naye masuala kadhaa yahusuyo maisha yake na taifa kwa ujumla.Nikiwa pamoja na Lissu,kijana asiye na makuu hata kidogo,mcheshi na mwenye msimamo usioyumba,nilidodosa mambo mengi mojawapo ni kuhusu elimu yake.Kumbe mhesh.huyu tangu akiwa mdogo amekuwa mtetezi wa wanyonge mwenye uwezo wa kushawishi kwa hoja nzito na ktk kila mtihani wowote amekuwa akiwa wa kwanza kuanzia shule ya msingi kwao Singida,sekondari Ilboru na Gallanos,Vyuo vikuu DSM na Wawickh.Ana akili isiyo ya kawaida na uwezo wake ktk kuelewa mambo si wa kawaida.Ni tunu ya taifa.

Ndo kitu gan hiyo tundu?
 
Bora kenda kuliko kumi nenda rudi,watu wachache makini kwenye chama kuliko wengi wasio na tija.
 
Kama wewe ni msafiiiiiii, hebu toka mbele na umrushie mawewe huyo aliyepola mke wa mtu....mbona ile kesi ilikwesha mara tu baada ya uchaguzi, najua mtaifufua muda ukiwadia

Chama cha Mungu viongozi wao kazi yao kupora wake za watu.
 
Back
Top Bottom