Kazi na dawa

Kazi na dawa

Mi nadhani wakapimwe mkojo tu hamna namna nyingine. Eti ndio wa kuwaamini hawa na kuwaachia watoto wafundishwe nao, ni hatari sana.

Hii dini sio kabisa kila mkiambiwa hamuelewi oneni sasa hayo mambo. Mtaamka lini kutoka usingizini Jamani.

Mapadre nao wanafungisha ndoa za mashoga kwa kweli hii dini hii. Mmh.

Hatarious.
Wapi huko mapadre wanafungisha ndoa mashoga?
 
Kwanza kwenye amri kumi hakuna inayokataza pombe. Hawa ni watawa ambao kwenye nadhiri zao hakuna kifungu kinasema wasinywe pombe ila wamefunga nadhiri za useja, umaskini na wito. Wakatoliki tunaruhusiwa kunywa hata sherehe zetu zote au shughuli zetu zote dunia nzima hazikosi mvinyo. Yesu alitengeneza mvinyo kama muujiza wake wa kwanza pale Kaanani sasa wewe unatwambia nini?
Mimi naona usipeleke watoto wako huko kwenye shule za kikatoliki, wapeleke kwenye shule za kiislam maana hao ndo pombe ni haram. Tukae tufuatilie wote ni kipindi kipi baa huwa zinakosa wateja je ni kwaresima au Ramadhan?
 
Kasome demand and supply halafu huyo Yesu wa wakatoliki ni tofauti na Yesu wa madhehebu mengine? Nyie ni wapiga dili kama wapiga dili wengine et pembeni ya kanisa kuna ka pub et kana kauli mbiu kunywa usilewe sijui hao macsta zikiwashuka chini watafanyaje kama sio kumtafuta flatel
 
Ninachowapenda hawana unafiki kama hawa jamaa wanosema watakuja kunywa mto wa pombe ahera
Huku wanajificha wanagonga mbaya kabisa ukifika kwao wanajifanya hawanywi wanabeba chupa wameandika Olive oil kumbe brand au ukipanda Emirates yao wanakula kinywaji ukifika yakhe haramu hiyo
We Kilaza si kila mwarabu muislam na hyo ndege ni international
 
Hamnaga kitu kama unachoongea kwamba wamevaa tu mavazi.Hao huwa tunashuhudia kitaani wakipiga hayo mambo hata mapadre wanagonga hizo mambo hatari hatari
 
Kasome demand and supply halafu huyo Yesu wa wakatoliki ni tofauti na Yesu wa madhehebu mengine? Nyie ni wapiga dili kama wapiga dili wengine et pembeni ya kanisa kuna ka pub et kana kauli mbiu kunywa usilewe sijui hao macsta zikiwashuka chini watafanyaje kama sio kumtafuta flatel
Ukishaamini hivyo ujue wewe una kasoro na yawezekana ukionja utabaka mpaka kuku au mtoto wako. Watu kabla ya hizi dini mila zetu zilikuwa zinafuata mfumo huu wa kulipa mahali kwa pombe na mifugo, kuzika kwa kunywa pombe na shughuli nyingine, mtoto akizaliwa ni pombe na sherehe. Dini haikuja kuvunja mila za watu na ndiyo maana ukiona dini inavunja mila zako hiyo ikimbie. Yesu basi si Yesu unayemwabudu maana angeanzisha amri zake. Amri kuu alitupa Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuongelea mambo ya pombe katu. Sigara na pombe kipi ni hatari kwa afya yako?
 
Hata kama mweka picha alikuwa na ajenda hasi, hilo halina madhara yoyote ya kiimani kwa sisi RC. Kama ni haramu huko kwenu. Sisi kama kwa upande wa nguruwe bia na vileo vingine halali sio jambo la kificho. Hizi ni tofauti za kiimani. Wengine kuoa wake wengi ruksa wengine wao ruksa ni mke mmoja tu. Wengine talaka ruksa wengine la. La msingi ni kila mmoja wetu kuheshimu imani ya mwenzake kwa kutokukashifiana. (Awali ya yote haikuhusu).
Kuna vitu common kwa dini na madhehebu yote acha kutetea ujinga
 
Usikute thread kaleta msabato povu kwa waislam, kuna video inasambaa pia wanakwaya akiwemo yule mshehereshaji wa kitaifa wanaimba huku wakiwa pub ukitaka njoo inbobo nikurushie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom