Kazi na dawa

Kazi na dawa

Hivi vitabu vya dini wanavyo tufundishia sivinakataza yani hapa ndio dini unaona usanii.
Usanii wa dini uko wapi? Kama vitabu vya dini vimesema wizi si jambo sahihi akatokea mtu au watu wakaiba utasema dini ni usanii
 
Hii picha itachafua hali ya hewa,hata kama ni mavazi tu either wamevaa Kwa lengo fulani lakini hautaeleweka..ngoja waje uone!
Wala haichafui hali ya hewa. Kwa imani yao hicho ni kiburudisho kama kiburudisho kingine, wala usifikiri picha hiyo inawaumbua. Ni kama dini nyingine kitoweo cha nguruwe ni haramu lakini kwa dini nyingine halali
 
Kawaida tu! Mimi kuna shehe mmoja kila jmosi huwa tunanunua kitimoto kwa mangi fulani anachinja mtaani, ila wasiojua siri hiyo huwaambia ni nyama pori, hizi dini zimeletwa na wageni. Waafrika tuendelee kupambana na hali zetu tu!
 
like.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom