Nani aliye Safi ambaye atajua huyu anayo/Hana hatia? USIUE, USIUE USIUE USIUE USIUE.... Atakaye ua MUNGU hajamtumaKwa damu isiyo na hatia yaani MTU asiyekua na hatia, kufuru ya waziwazi kwa tawala za kiimani lazima utauwawa.

Tofautisha kulewa na Kunywahivi kila anayekula ni mlafi
![]()
![]()
Kunywa ila usileweKazi kazi
Mkuu,umeguswa ninnaona umetumwa
tumechokozwaMkuu,umeguswa nin
Hata ingekuwa orijinali Mimi ninavyo Hawana kosa hapo..Sio original hio ni feki

Asante Mtumishi msg sentKiingiacho tumboni na kutoka hakimtii mtu unajisi.
Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho mtu unajisi kama
Matusi, husuda, wivu, usengenyaji, uuwaji, wizi, ugomvi, uzinzi, ulafi, ulevi, ukabaji nk.
Kula bila kunawa hakumtii mtu unajisi.
Kuleni chochote kiuzwacho sokoni.
Waacheni wale mema ya nchi.

Asante mtumishi.Asante Mtumishi msg sent![]()
Wabishi walete ushahidi kama sio kweli kwamba chaumbile Imulungu ni cha kumemenaAsante mtumishi.
Hakuna kitu najisi kwa asili yake mtumishi.
Vyote tulivyoletewa mbele yetu ni vyema.
Inapaswa tu tuvitumie kwa kiasi na kwa wakati wake, ili tusile ki-ulafi wala tusinywe ki-ulevi bali kwa utukufu wa Mungu.
Kama itaonekana tunamkwaza mwenye imani ndogo, basi ni bora tusivitumie kabisa na sio kwa ajiri yetu, bali kwa ajiri ya kumwinua mwanafunzi wa Kristo.
Asante mtumishi, umepotea kwenye majukwaa siku hizi, karibu tena.

Chakumemena na chaku nywenywena.Wabishi walete ushahidi kama sio kweli kwamba chaumbile Imulungu ni cha kumemena![]()