MAMESHO
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,366
- 1,622
Hasa mida ya asubuhi na mchana. Wana mafuta ya kuwasha.Nyie ndio wabaya zaidi mnawala sanaaa itabidi nikutafute unifundishe mkuu hiyo kazi
Hasa mida ya asubuhi na mchana. Wana mafuta ya kuwasha.Nyie ndio wabaya zaidi mnawala sanaaa itabidi nikutafute unifundishe mkuu hiyo kazi
Usiwasahau mawakal wa mitandaoWachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi,
Daah! Kumbe maisha bado mazuri sana, mpaka sie ma DJs tumesahaurika na mtoa mada.Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa huwa wanachomekea gia ya kuomba mchezo kwa kisingizio cha masharti, kuingiza dawa na hata kutumia vitisho pale mwanamke akileta ugumu.
Wasanii + wanamichezo - wasanii hususan wa bongo fleva na wale wanaofahamika bongo muvi mara nyingi hata hawatumii nguvu kubwa kwasababu tayari majina yao yanajisemea, tukija kwa wacheza mpira timu za bongo nao hawapo nyuma, sema tu utofauti wao na wasanii ni kwamba wao wanapenda kutembea na mabinti wasio na umaarufu, kwa wasanii wanapenda kutembea na mabinti wenye umaarufu flani ivi.
Studio za picha - yanayoendelea huko studio za picha ni mengi mno kuanzia kwenye kubadili mavazi, kuvaa nguo zenye mitego, picha za uchi na hata mitindo ya upigaji wa picha , kazi hii yahitaji moyo, mabinti wengi huwa ni wale ma model wa Instagram, Facebook, n.k
Walimu wa vyuoni - Hawa ni kama miungu watu huko vyuoni, kuna kundi la kwanza ambalo huwa wanafelisha au kuwekwa ugumu binti wanaemtamani, na hapa Ili binti basi huyo mwalimu anamwambia wafanye ngono....kundi la pili ni wanafunzi ambao wanajua wamefeli kihalali ila ni wenyewe wanaofanya jitihada za kumtega mwalimu Ili awape maksi za kusonga mbele, kwao kutoa mzigo sio ishu kabisa.
Boda boda + wakaanga chipsi - Hawa mara nyingi wanamendea vibinti vidogo na muda mwengi hata WA sekondari, vibinti vidogo hivi akili bado hazijakomaa ila kimaumbile ni wakubwa, wengi wakipewa chipsi au lift, ni huruma pekee ya boda bpda au muuza chips itayonuokoa, vinginevyo hapo hachomoki.
=======
Zaidi soma: Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kawasahau hadi ma directors wa movies na wale wanao shoot videosMaphotographer umetuachaje
UMEGUSA MULEMULEWachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa huwa wanachomekea gia ya kuomba mchezo kwa kisingizio cha masharti, kuingiza dawa na hata kutumia vitisho pale mwanamke akileta ugumu.
Wasanii + wanamichezo - wasanii hususan wa bongo fleva na wale wanaofahamika bongo muvi mara nyingi hata hawatumii nguvu kubwa kwasababu tayari majina yao yanajisemea, tukija kwa wacheza mpira timu za bongo nao hawapo nyuma, sema tu utofauti wao na wasanii ni kwamba wao wanapenda kutembea na mabinti wasio na umaarufu, kwa wasanii wanapenda kutembea na mabinti wenye umaarufu flani ivi.
Studio za picha - yanayoendelea huko studio za picha ni mengi mno kuanzia kwenye kubadili mavazi, kuvaa nguo zenye mitego, picha za uchi na hata mitindo ya upigaji wa picha , kazi hii yahitaji moyo, mabinti wengi huwa ni wale ma model wa Instagram, Facebook, n.k
Walimu wa vyuoni - Hawa ni kama miungu watu huko vyuoni, kuna kundi la kwanza ambalo huwa wanafelisha au kuwekwa ugumu binti wanaemtamani, na hapa Ili binti basi huyo mwalimu anamwambia wafanye ngono....kundi la pili ni wanafunzi ambao wanajua wamefeli kihalali ila ni wenyewe wanaofanya jitihada za kumtega mwalimu Ili awape maksi za kusonga mbele, kwao kutoa mzigo sio ishu kabisa.
Boda boda + wakaanga chipsi - Hawa mara nyingi wanamendea vibinti vidogo na muda mwengi hata WA sekondari, vibinti vidogo hivi akili bado hazijakomaa ila kimaumbile ni wakubwa, wengi wakipewa chipsi au lift, ni huruma pekee ya boda bpda au muuza chips itayonuokoa, vinginevyo hapo hachomoki.
=======
Zaidi soma: Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hawa ndio hatarNa sisi wapaka rangi kucha..?
Na sisi wapaka rangi kucha..?
Kuna siku nimetoka Dar nikafika Moshi saa nne usiku nikasema nipumzike tu asubuhi nimalizie safari. Nikapiga vyombo pale Redstone kama one hour nikaenda lodge moja hivi jina sikumbuki nikamkuta mhudumu mmoja hivi kimodo cha singida..wakati naandikisha nikawa namtania anipe chumba kizuri kama yeye..akanibebea begi hadi room kufika nikamtania likitanda lote hili silali peke yangu uje tulale wote. Akacheka akasepa,namimi ule uchovu wa long drive nilimtania tu na sikua na mpango na game maana ningetaka ningebeba toka Redstone. Imefika sa 7 kapiga simu ya landline mi nshalala nikahisi naota,kupokea anauliza ushalala? Nikamwambia yaah,akasema si ulisema hulali peke yako...nikamwambia nilikua nakusubiri usingizi ukanipitia nimekaa tu hapa kwenye sofa njoo.Wahudunu wa kike wa Lodge/guest
Dash!Njemba usiku zinaita tu kiulainiii