Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

Ungemshauri mkweo mkwanza, halima anakuhusu nn??

Gwajima ana ulaanifu uyu, kawatafuna sana kondoo wake uyu gwajima, apo hakuogopa kamsaliti mkewe sembuse kuwasaliti nyie wana-kawe.

Gwajima kahahidi kuigeuza misikiti yetu mitukufu ya uko kawe kuwa sunday school, waislam tunalijua hilo na tuna jambo letu tatehe 28.10.

Twende na halima mdee msemaji wetu mahiri uko bungeni.
Kwa kweli Halima dada yangu namshauri kwenye hili la ubunge apumzike tuu
 
Wanawake weupe ndiyo Kipenzi cha Magufuli. Hata mkewe (Magufuli) atampigia kura Tundu Lissu.
Kwa sasa, habari ya mjini ni Tundu Lissu.
Ni kweli kabisa kwa sasa habari ya mjini ni pinga pinga na msema hovyo Tindu Lisu kufundishwa adabu na watu wa Chato
 
Kuna Coaster niliikuta Bunju imebeba wana CCM tupu ndani, huku kila mmoja akipewa 5000 kuwa ni nauli ya kurudi toka kwa "Mheshimiwa".
 
Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli.

Karibuni nyote.

Rip Mwalimu Nyerere

Up dates;
Kwa miaka mitano kila siku unaongea wewe..matokeo yake kipindi kama hiki unajikuta unakosa jambo jipya la kueleza na kubaki kurudia rudia yaleyale....kuchuja huku ni kwa kujitakia mwenyewe.
Kipigo cha mvua ya jana...leo ukaanikwe juani...anyway kupanga ni kuchagua..kila mtu na akili yake
 
Kule mabwepande hawataki hata kulisikia jina la Halima!
Mkuu umeona hako katoto hapo pembeni kanavyomshangaa huyo mwamba?
20201014_082333.jpg
 
Ungemshauri mkweo mkwanza, halima anakuhusu nn??

Gwajima ana ulaanifu uyu, kawatafuna sana kondoo wake uyu gwajima, apo hakuogopa kamsaliti mkewe sembuse kuwasaliti nyie wana-kawe.

Gwajima kahahidi kuigeuza misikiti yetu mitukufu ya uko kawe kuwa sunday school, waislam tunalijua hilo na tuna jambo letu tatehe 28.10.

Twende na halima mdee msemaji wetu mahiri uko bungeni.

Kwanza kabla ya ushahidi wa hayo uliyoongea una uhakika hajafanya toba kwa Mungu wake?
Soma signature chini hapo........ halafu tukaliamshe dude!!!!!
 
Tuambie kwanza wasanii gani watakaokuwepo, tunataka burudani hotuba za JPM hata usipokuja mkutanoni unajua nn ataongea!.
 
Tunaanzia safari kwenye office za CCM mtaa, Kila mtaa una coasta za kutosha watu wake tayari na magari binafsi pia.
Sema wewe uko mtaa gani nikupitie

johnthebaptist wakaribishe wanaotaka kujiunga CCM leo
mnajisumbua huyo mchungaji mzinzi mla kondoo hawezi kushinda ,abaki kanisani tu kula kondoo wake,zamu hii CCM mmetia aibu kutuletea mchungaji malaya
 
mnajisumbua huyo mchungaji mzinzi mla kondoo hawezi kushinda ,abaki kanisani tu kula kondoo wake,zamu hii CCM mmetia aibu kutuletea mchungaji malaya
Kama ni mtumbuizaji atakuwa Harmonize akiwekewa lile nyimbo la UNO
Hahahhahha
 
Ni kweli kabisa kwa sasa habari ya mjini ni pinga pinga na msema hovyo Tindu Lisu kufundishwa adabu na watu wa Chato
Kura yako kwa Tundu Lissu. Tundu Lissu ni nuru ya Watanzania wote bila kujali rangi zao, kabila au dini zao.
Magu na gwaji ni wabaguzi kiwango cha PhD.
 
Back
Top Bottom