mandago shululu
Senior Member
- Mar 24, 2013
- 124
- 34
Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe.
Aliyetoa taarifa ya kukanusha ongezeko la hiyo mishahara alipaswa aweke ushahidi ili kumuumbua Taarifa ya mbowe.
Kwa hiyo wote wapuuzwe kwani hakuna mwenye taarifa kamili.kama Kuna yoyote mwenye ushahidi kutoka hata upande mmoja aweke hapa ili tuelewane.