katuni gani inakuuua mbavu?

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
mimi ni mpezi wakucheki katuni za cd na kweny magazeti,yani unaweza kunikuta nacheka mwenyewe.katuni za kwenye cd niipedayo ni ya tom and jery,za kwenye magzeti ni kingo inayochorwa na gayo,Tozi ya kwenye majira
inayochorwa na william garani vp kuhusu ww
 
Mi Tom & Jerry, bi mkora ya robert mwampembwa-gazeti mwananchi,kingo na flexible the guardian ndio nazizimikia.
 
Nimeanza kuangalia katun nikiwa mtoto (enzi hizo padre anatuonyesha baada ya ibada ya jioni kanisani kila jumapili) the passion nevr died; being a parent now am sharing it with my son...........why its only in cartoons where you don't harbor feelings or become emotional (kwa cinema addicts mnalitambua hili) you just laugh your heart off!

our favorite ni Tom and Jerry ; haswa harakati za Tom kumnasa kimwana na Jerry kumuharibia kwa kuchelea kumpoteza rafiki yake.............na ile almaarufu panya aitwaye El magnifico!

Ikifuatiwa na Batman, Ben 10, Mickey Mouse collection................

Kwenye gazeti hakuna mtu ananikuna kama GADO ; mtz anayewachorea The nation ya Kenya! lakini pia namkubali Nathan Mpangala na masoud kila mtu anyo angle inayokufanya uwaze na kufurahi!

Kwa mwanangu cartoons zimempa msaada mkubwa wa uelewa na kumbukumbu; he can easily get the sentences and sasa he fully speaks whole sentences with the remarks from cartoons; my take tuwahamasishe wanetu kuziangalia pale tuwezapo kuliko kushinda muda wote kwenye mpira!
 
ukitaka kucheka na katuni tfuta kipindi kinaitwa 'cartoon network' m-net au channel ten*
 
Shreck, Ben 10, 444, Guffy, garfield, tom and jery, scooby, the simpsons, the batman, flint stone na nyingnezo nyingi ingawa hz ndizo my favorate. Ktk gazeti kuna bwana chezo, kingo, bi mkora na madenge wa sani. Am addicted with cartoons na ni tiba ya moyo.
 
Napenda the penguins of madagascar,naiangalia kila mara. Tom & jerry is all time fav. Coyote & popeye too.
 
Napenda DESPICABLE ME, MICKEY MOUSE, na OVER THE HEDGE, na magazetn napenda bi mkora, kingo na madenge
 
Hii sred ni kwa waliokulia mazingira yenye kideo cha bure, mi nimejaribu ukubwani nimeshindwa kuzipenda jamani.
 
Back
Top Bottom