katuni gani inakuuua mbavu?

Huwa sikosi kuangalia "dastady and mutley"batman na kwenye gazeti kuna hizi katuni za aloyce jacob ktk gazeti la amani"skendo bila chenga"na pia iko vunja mbavu na king kinya,yaani ni noumer!
 
Shreck, Ben 10, 444, Guffy, garfield, tom and jery, scooby, the simpsons, the batman, flint stone na nyingnezo nyingi ingawa hz ndizo my favorate. Ktk gazeti kuna bwana chezo, kingo, bi mkora na madenge wa sani. Am addicted with cartoons na ni tiba ya moyo.

garfield show imetulia sana, inachekesha. But Ben 10 ni action cartoon just like Star Wars na Avatar (The last airbender) and Batman, so naona hamna ucheshi sana but kuna actions nyingi...atleast Batman ina kiutani kidogo, japokuwa naipenda Ben 10 zaidi. Pia spongebob the squared pants, camp lazlo, my gym patner is a monkey, dexter's laboratory, pink panther, chup sucky chuks, skunk fu, gorge of the jungle, Ed Edd Eddy, e.t.c

Meeee too...im addicted with cartoons...
 
Katuni za Gado yule jamaa mchoraji wa katuni kutoka kenya akiamua kumchora Kibaki au Laila utafurahi mwenyewe yaaan ni noma
 
Nimeanza kuangalia katun nikiwa mtoto (enzi hizo padre anatuonyesha baada ya ibada ya jioni kanisani kila jumapili) the passion nevr died; being a parent now am sharing it with my son...........why its only in cartoons where you don't harbor feelings or become emotional (kwa cinema addicts mnalitambua hili) you just laugh your heart off!

our favorite ni Tom and Jerry ; haswa harakati za Tom kumnasa kimwana na Jerry kumuharibia kwa kuchelea kumpoteza rafiki yake.............na ile almaarufu panya aitwaye El magnifico!

Ikifuatiwa na Batman, Ben 10, Mickey Mouse collection................

Kwenye gazeti hakuna mtu ananikuna kama GADO ; mtz anayewachorea The nation ya Kenya! lakini pia namkubali Nathan Mpangala na masoud kila mtu anyo angle inayokufanya uwaze na kufurahi!

Kwa mwanangu cartoons zimempa msaada mkubwa wa uelewa na kumbukumbu; he can easily get the sentences and sasa he fully speaks whole sentences with the remarks from cartoons; my take tuwahamasishe wanetu kuziangalia pale tuwezapo kuliko kushinda muda wote kwenye mpira!


nani kakuuliza? ah! Wa2 wengine bwana! Kila saa padri! my children.. my children,.. Hata sisi 2na watoto. Ala?!
 
Katuni inasema by sidy michael wa Tz Daima na Mwanahalisi. Huyu jamaa ni genius wa katuni bongo hii. Mcheki kila j5
 
Katuni zote za Tex Avery NI KIBOKO

wolf1024.jpg
 
[FONT=Helvetica,Arial][SIZE=+1]Name: Fredrick Bean "Tex" Avery[/SIZE][/FONT]​
[FONT=Helvetica,Arial][SIZE=+1]Birthdate: February 26, 1908[/SIZE][/FONT]​
[FONT=Helvetica,Arial][SIZE=+1]Birthplace: Taylor, Texas[/SIZE][/FONT]​
[FONT=Helvetica,Arial][SIZE=+1]Tex was interested in animation from an early age. He started drawing comic strips in high school, and spent a summer studying art at the Chicago Art Institute. Avery moved to California in the early thirties and entered the animation field as a painter for Walter Lantz. Under Lantz, he learned the entire animation process and soon became a storyboard artist. In 1935, Tex went to work at Warner Bros. where he created Porky Pig, Daffy Duck, and created the personality of Bugs Bunny. He was with Warner from 1935-1941. During this time, he created animation that was a far cry from all the Disney imitators out there. Unlike Disney, Tex Avery's cartoons had their own personality. A disagreement with Leon Schlesinger led Tex to quit Warner in early 1941.[/SIZE][/FONT]​
[FONT=Helvetica,Arial][SIZE=+1]Later that year, Tex was hired by MGM producer Fred Quimby. With new creative freedom, Tex created some of the best cartoons the world has ever seen. Tex did not concentrate on creating lasting characters, but on slapstick gags and humorous situations. Of all his characters, Droopy is the most popular.[/SIZE][/FONT]​
[FONT=Helvetica,Arial][SIZE=+1]In 1954, Tex left MGM right before the studio stopped making theatrical shorts. He re-joined Walter Lantz to make only four cartoons, and making popular the Chilly Willy character. He then joined the world of TV commercials where the Raid bug spray ads and Frito Bandito where among his creations.[/SIZE][/FONT]​
[FONT=Helvetica,Arial][SIZE=+1]Tex Avery died in August, 1980. He left behind a legacy of timeless cartoons that will entertain and influence young cartoonists for years to come.[/SIZE][/FONT]​
 
ukitaka kucheka na katuni tfuta kipindi kinaitwa 'cartoon network' m-net au channel ten*

Cartoon network ; ni network channel mahususi kwa cartoon si kipindi; Channel 10 hujiunga nao kwa recorded sessions tu; lakini hawa jama wao 24/7 ; 7 days a week ni cartoon tu!
 
nani kakuuliza? ah! Wa2 wengine bwana! Kila saa padri! my children.. my children,.. Hata sisi 2na watoto. Ala?!
Nothing4good with a name like this...................I don't expect less..........hahahaha..........kama unao watoto kwa nini hujivunii kuwa nao! na hapa issue sie watoto; ni cartoon! Ala x million &&&9762538393866655%%%^ WE!
 
Mie.. dr. Levy tu na old fashioned wake akina Baba Ubaya na Sugu kazini.
 
GADO ni Mtanzania ; Godfrey Mwapembwa ndo jina lake halisi.............GADO ni artististic trade mark; yuko juu!

kweli we ni maskini jeuri!! Unapenda sana kuonekana unajue!! Unafikiri alieandika GADO HAKUJUA KAMA NI MTANZANIA? Achaga mbwemwbe basi!
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom