katuni gani inakuuua mbavu?

CourageTheCowardlyDog.jpg
courage-the-cowardly-dog.jpg
 
Si kuonekana; ni kujua na ndo msingi halisi wa JF ...kujulishana........ukifuatilia nimejibu hivyo kutokana na credit alizowapa wa kenya kuwa GADO anatokea kwao; kwa faida ya ke na ya kwako nimelisahihisha hilo; swala la mbwembwe ni mtazamo wako.............mbona hujawasema waliotoa autobigraphy za Tex kuwa wanajua na kama hutaki kujua...............kinachokufanya usome comments humu ndani kitu gani? Acha utoto!

hehehe! usitake kunifundisha mi nilikua najua GADO NI MTANZANIA. Halafu acha utoto mwenyewe
 
mi napenda ya Kipnya yaani KP
mimi ni mpezi wakucheki katuni za cd na kweny magazeti,yani unaweza kunikuta nacheka mwenyewe.katuni za kwenye cd niipedayo ni ya tom and jery,za kwenye magzeti ni kingo inayochorwa na gayo,Tozi ya kwenye majira

inayochorwa na william garani vp kuhusu ww
 
Back
Top Bottom