Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

Good
kazi nzuri sana sijui bwana katuni yuko wapi angesaidia kuchora ambayo ni coloured ili wigi la bibi kiroboto lionekane vizuri
 
Last edited by a moderator:
Una maana ya katuni hii, inavyoonyesha jinsi bunge letu lenye spika alimesinzia, wabunge wanafanya wapendavyo; hadi kudharilisha kiti cha spika, kwa ujumla hakuna nidhamu. Hata hivyo sijaelewa kuhusu hizo chupi na soksi zilizoanikwa katika ukumbi wa bunge, wenye chupi na soksi hizo wako wapi? Je ndio utaratibu wenyewe, mambo yote self contain bungeni?

View attachment 92840

Hizo chupi maana yake Bunge liko Uchi wa mnyama. Kuanikwa maana yake huenda zikikauka wakazivaa watakuwa na nidhamu. Kuna mama mmoja aliwahi kueleza kuwa nyakati za vikao vya Bunge machangudoa wote wa Dar huenda Dodoma, yule Mama aliitwa Bungeni kutoa maelezo hadi leo sijawahi kumsikia, nadhani alipata vitisho ambavyo ni siri yake.
 
zaidi ni kuwa GADO alisoma chuo cha ardhi wakati huo kabla hajaamua kuwa full time cartoonist na amefanya interview hata na CNN kuelezea kazi zake. Ni ndugu wa cartoonist mwingine aliyekuwa akimchora 'Bi. Mkora'.
Najua ana uchungu na kinachoendelea katika nchi yake na hii cartoon angalau itawaumbua zaidi wanaojifanya hawaoni zaidi hata ya ile ya waandishi wa habari wa TZ

Zaidi,

Hata akama angekuwa si Mtanzania. Alichochora ni muhimu zaidi ya yeye ni nani.

Kama kuna kitu cha kukosoa basi kiwe alichochora, siyo yeye ni nani.
 
Hivi yule aliyewachora waandishi wa habari wanamlamba miguu JK ni huyuhuyu ?

Hii katuni itengenezewe banner iwekwe main entrace ya Bunge
 
Ya kwetu yanawahusu kivipi?

Yanawahusu sana sisi ni jirani zao tusije tukasababisha nyumba yao (bunge) kunuka, halafu umesahau yule ndugu yao tuliyembambika kesi ya Dr. Ulimboka?
 
Issue hapa ni Message je iko clear? hayo mengine hayatuhusu. Hii inasikitisha na kosa kubwa kuliko lote ni lile la kutomchukulia SERUKAMBA HATUA BAADA YA KUTUKANA MATUSI YA NGUONI.

Na hayo matusi ya Serukamba yameoneshwa vizuri sana kwenye hiyo cartoon pale Serukamba anapomkojolea bibi Kiroboto lakini wapi bado anasinzia tu!!
 
Una maana ya katuni hii, inavyoonyesha jinsi bunge letu lenye spika alimesinzia, wabunge wanafanya wapendavyo; hadi kudharilisha kiti cha spika, kwa ujumla hakuna nidhamu. Hata hivyo sijaelewa kuhusu hizo chupi na soksi zilizoanikwa katika ukumbi wa bunge, wenye chupi na soksi hizo wako wapi? Je ndio utaratibu wenyewe, mambo yote self contain bungeni?

View attachment 92840

Hizo chupi zinaonyesha bunge letu limekuwa XXX. Wabunge wanaachilia lugha za chumbani bila kujali kuna watoto.
 
Nadhani hizo nguo za ndani zinaonyesha jinsi wabunge wanavyoleta mambo ya faragha bungeni badala ya hoja za msingi za kujenga Taifa
Una maana ya katuni hii, inavyoonyesha jinsi bunge letu lenye spika alimesinzia, wabunge wanafanya wapendavyo; hadi kudharilisha kiti cha spika, kwa ujumla hakuna nidhamu. Hata hivyo sijaelewa kuhusu hizo chupi na soksi zilizoanikwa katika ukumbi wa bunge, wenye chupi na soksi hizo wako wapi? Je ndio utaratibu wenyewe, mambo yote self contain bungeni?

View attachment 92840
 
Mh Spika anachojolewa na Sarukamba halafu mwenyewe anavuta usingizi tu kwa kuwa tu Sarukamba ni wa chama chake ingekuwa ni wale wa upande wa pili ungesikia moto wake.
 
Huyo Mchoraji ana hiyana wala hajui alichochora maana kawaweka wabunge wa CCM tu,ha
kuna Bunge lenye fujo na ngumi kama la Kenya yaani heri la Somalia.
Kwa kutumia kinywaji pembezoni mwa viunga vya BUNGE kweli ndio chanzo cha kuwehuka alikosema Mama Anna Abdallahwakati wakipitisha Azimio la Bunge hasa kuhusu Mlipuko wa Bomu huko Arusha kuwa watu kinachowaponza ni kuonekana kwenye Luninga

Ndugu yangu Ukwaju kama umeiangalia vizuri hiyo katuni kuna mtu kakaa chini amevaa kofia na kombati (suruali yenye mifuko)je kwa mwonekano huyo sio mmbunge wa chadema...???mchoraji hayuko biased....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kukojoa si ndo kunaendana na ile f.... You?
Kitendo cha serukamba kinatafsiri udhaifu wa kiti cha spika..!!kwamba hata kama kifanyike kiu gani cha aibu spika hana la kuamua especialy kitendo husika kikiwa kimefanywa na mmbuge wa ccm.
 
Back
Top Bottom