Meseji kubwa ninayoipata hapa ni kwamba wamechora Speaker amelala ndiyo maana Bungeni watu wanafujo kiasi hiki na kulifanya Bunge letu kukosa heshma mbona enzi za Sitta tulikuwa hatujawhi kusikia maneno kama Fakyuu, Mbwa nakadhalika? Ila wamtake radhi Speaker ina maana ana mdomo mbaya kiasi hiki?
Huyu mchoraji ni mtanzania anayeishi Kenya, hivyo naye kama watanzania wengine, anaguswa na upuuzi wa bunge.Kumbe Wakenya wanaona bunge letu lilsivyo makini.....
![]()
HII YOTE NI KUTOKANA NA BUNGE LETU KUPOTEZA MWELEKEO NA KUWA KAMA KIJIWE CHA WAHUNI AMBAO HAWAJUI WAMEKWENDA KUFANYA NINI MJENGONI .....................lol