Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
safi sana
Ya kwetu yanawahusu kivipi?
Kumbe Wakenya wanaona bunge letu lilsivyo makini.....
Hiyo katuni imeeleza mambo mengi tu..,bunge tukufu limejaa ulevi,wavuta bangi,umbea,ufuska,wabunge hawako makini kwa kulala kwenye sessions pia spika mwenyewe amelala means kwa makusudi ili kukidhi interest za waliomweka ,na mengine mengi..!!!lol hii ni aibu sana...!!
Ya kwetu yanawahusu kivipi?
Uzalendo -F yani wakenya ukabila ,Njaa kibao uifananishe na Tz kwa demokrasia?halafu una comment mnAshadadia?Lol
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Una maana ya katuni hii, inavyoonyesha jinsi bunge letu lenye spika alimesinzia, wabunge wanafanya wapendavyo; hadi kudharilisha kiti cha spika, kwa ujumla hakuna nidhamu. Hata hivyo sijaelewa kuhusu hizo chupi na soksi zilizoanikwa katika ukumbi wa bunge, wenye chupi na soksi hizo wako wapi? Je ndio utaratibu wenyewe, mambo yote self contain bungeni?
View attachment 92840
Ya kwetu yanawahusu kivipi?
Ya kwetu yanawahusu kivipi?
zaidi ni kuwa GADO alisoma chuo cha ardhi wakati huo kabla hajaamua kuwa full time cartoonist na amefanya interview hata na CNN kuelezea kazi zake. Ni ndugu wa cartoonist mwingine aliyekuwa akimchora 'Bi. Mkora'.Gado ni Mtanzania/ ni mzawa wa Tanzania kwa msiomfahamu. Kenya ni jirani ya Tanzania na mwanachama wa EAC.
Ndo yanavyowahusu hivyo.
Soko la pamoja na EAC mkuu plus ujirani yanatosha sana, usiombe kuishi na jirani mwenye shida zake, kwa njia moja au nyingine atakukera tu pamoja na kuwa nawe una shida zako. So inawahusuYa kwetu yanawahusu kivipi?