MZEE WA TEMBO
Member
- May 1, 2013
- 34
- 19
Ujumbe umefika
![]()
HII YOTE NI KUTOKANA NA BUNGE LETU KUPOTEZA MWELEKEO NA KUWA KAMA KIJIWE CHA WAHUNI AMBAO HAWAJUI WAMEKWENDA KUFANYA NINI MJENGONI .....................lol
Aliyechora hii katuni ni Mbongo, tena Mnyakyusa wa Mbeya.
Aliyechora hii katuni ni Mbongo, tena Mnyakyusa wa Mbeya.
Huyo anaye mkojolea spika ni wa chama tawala na hakupewa adhabu coz alikuwa sahihi.inaonesha jinsi wabunge wa CHADEMA wasivyo na nidhamu ndio maana spika anawatoa sana nje
Jamaa alivyomchola serukamba ndo kaua kabisa aisee!!!!!!!