mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,468
- 6,016
Tusiwalaumu kwa kutupa ukweli! ila hili ni tusi la kweli. Makinda umeona na ayubu ndugai!? jamani mnatengeneza historia ya dunia. Even my patriotism has failed to defend you ------!!
Tusiwalaumu kwa kutupa ukweli! ila hili ni tusi la kweli. Makinda umeona na ayubu ndugai!? jamani mnatengeneza historia ya dunia. Even my patriotism has failed to defend you ------!!
Nini tena?
Serukamba kaja na lipi, tunapitwa na baadhi ya yanayoendela bongo hasa ukiwa nje ya bongo
DUh!Serukamba alitumian 'F' word wakati wa mjadala bungeni na kiti cha spika hakijamchukulia hatua mpaka leo hii.
View attachment 92561
Mwangalie Serukamba hiyo ndiyo maana na neno lake Bungeni
So????? Who cares afterall?utake usitake ndio bunge lenu hili na ww umeshiriki kuliunda kwa nguvu zote....
Kumbe Wakenya wanaona bunge letu lilsivyo makini.....
Kumbe Wakenya wanaona bunge letu lilsivyo makini.....
mtoto kweli weweKumbe Wakenya wanaona bunge letu lilsivyo makini.....