Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Mungu huna, Mtume Huna, Kitabu huna...unapigania kwenda kweli ashki majunun..
Wewe ndio huna vyote hivyo. Hakuna apasaye kuabudiwa kwa Haki ila Allah na Muhammad ni mtume wake. Hiyo ya kwako ni upuuzi, upumbavu na ulofa!
 
Wewe ndio huna vyote hivyo. Hakuna apasaye kuabudiwa kwa Haki ila Allah na Muhammad ni mtume wake. Hiyo ya kwako ni upuuzi, upumbavu na ulofa!
eti allah mungu kiumbe kinaapia kwa aliye umba dhakar na kama afu wee unamuabudu msiba huo Daawa inapenya ado ado..
 
eti allah mungu kiumbe kinaapia kwa aliye umba dhakar na kama afu wee unamuabudu msiba huo Daawa inapenya ado ado..
Hilo andiko kila siku nakwambia ulitoe na hujalitoa. Toa andiko pumbafu wewe..
 
Nachojua Yesu akuanzisha Dini yoyote kwa hiyo hizi ni taasisi za watu tu
 
Hilo andiko kila siku nakwambia ulitoe na hujalitoa. Toa andiko pumbafu wewe..
d2df18678732b9da51afa1a026991b54.jpg
pambafu
72-virgins-muslim-cement-block.jpg
 
Jamani nawashauri msikilize nyimbo ya daz baba inaitwa rastaman jamaa kuongea sana humo!kifupi humo kuna kila kitu yaani hizi dini zinaletwa kwetu Africa na wazungu na waarabu tutachinjana tutauwana lakini dini ni moja tu imani ndani ya moyo wako kutenda yale yaliyo mema na kuacha yaliyo mabaya over

Hii nyimbo naikubali sana jamaa alikua amepiga cha Arusha kimekubali akatunga bonge la nyimbo
 
Katoliki ni dhehebu, lutheran ni dhehebu, pentecost ni dhehebu, hawa wote
Katoliki sio dhehebu.....

Au hujui maana ya dhehehu(Denomination).....Dhehebu ni kanisa lililojichepua au kujitenga na kanisa mama..

Sasa kwa mantiki hiyo Katoliki ni dhehebu la wapi...??
 
Huo ni uzwazwa, kama upo kwa ajili ya utani na mzaha unakosea kuepo hapa.

Ukristo sio rahisi style hii.
Ok!! Umesema ni uongo/tumedanganywa...

Leta ukweli tuone...

To be deep in History of the Church is to cease to be a Protestant
 
Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
NDO DHEHEBU PEKEE LINALOFANYA UNYAMA WA HALI YA JUU KULIKO LOLOTE DUNIANI KWA KULAWITI WATOTO WADOGO WA KIUME ...NI USHENZI UPUMBAVU NA UJINGA UHUNI USIOLEZEKA NACHUKIA SANA TABIA ZA HAWA WATU...NI ZAIDI YA MAGAIDI
 
Back
Top Bottom