Sasa unakubaliana na mm kwamba hawa jamaa ni zaidi ya kusanyiko la waamini?Mkuu hujakosea sana,
Wakatoliki ni wabia wakubwa wa maendeleo ya Kiuchumi na kielimu hapa duniani. Wamesaidia sana watu wengi masikini kielimu na kiafya nchini Tanzania hasa baada ya kupata Uhuru na kwa hili niseme ukweli tunawashukuru sana bila Unafiki wowote ule.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba shughuli zao nyingi zina maslahi mapana sana kwao binafsi zaidi ya ambavyo wewe unaweza kufikiri au kudhani. Hivi unadhani kuwa mashirika mengi yanayosaidia elimu na afya hapa duniani yanafanya kazi hizo bure ???
Shirika kama The Rockefeller Foundation limesaidia sana watanzania wengi kama Dr. Augustine Mahiga na Professor Justinian Rweyemamu kuwa wasomi wenye ushawishi mkubwa duniani na Tanzania lakini unadhani hao Rockefellers walianzisha hizo kazi bure tu au kukusaidi mtu masikini peke yake???
Kuna Shirika kubwa linaitwa The Cecil Rhodes Foundation. Hili limekuwa likitoa misaada mikubwa ya Kielimu kwa Wamarekani na Waingereza, limesomesha watu wengi sana kwenye nchi hizo. Lakini ukisoma kwa umakini utajua Cecil Rhodes alipendekeza kwamba Marekani na Uingereza watakuwa karibu sana kama Wasomi wao watakuwa wana mtazamo moja wa kifikra. Hivyo kwenye Diary yake aliandika kwamba Uingereza isitumie tena nguvu kutaka kutawala Marekani kwasababu haitawezekana kirahisi kama alivyofikiri hapo mwanzo lakini mifumo ya Elimu ya Oxford na Harvard ikilingana basi wasomi ni lazima watakuwa na mtazamo moja wa dunia.
Leo hii Wamarekani na Waingereza ni kama nchi moja zilizotengwa na bahari tu. Wanaendana sanaaa na mtazamo wao wa dunia hii THE ANGLO-AMERICAN WORLD VIEW umejengwa juu ya huo ujanja wa akina Cecil Rhodes.
Wakatoliki baada ya kugundua ukweli mchungu walijifunza kitu kikubwa kwamba hata uwe na nguvu vipi huwezi kumtawala mwanadamu kama Mnyama. Hili hata Mungu muumba halifanyi kwasababu anaheshimu utashi wa viumbe wake (Free Will)
Basi wakaja na mifumo ya kielimu hapa duniani. Wakajenga Mavyuo na Mashule makubwa ili hata kama mwanadamu atafikiria basi atafiria ndani ya duara fulani la mawazo na hawezi kutoka nje sana ya hapo. Mfano Mzuri leo hii umchukue mwanafunzi wa Seminari ya Katoliki ya Maua, Don Bosco na Mafinga utakuja fahamu kwamba wote wana tabia moja na hata namna yao ya kufikiri inaendana sanaa. (Similar Thought Pattern)
Tafuta tena mwanafunzi wa vyuo kama LOYOLA, GEORGE TOWN UNIVERSITY, PONTIFICIA UNIVERSIDAD CATOLICA DE CHILE na SAUTI MWANZA (hapa kwa SAUT nazungumzia wale vipanga wa kweli kweli) ukawakalisha pamoja utakuta wote wana namna moja ya kufikiri. Unaweza kushangaa lakini ndivyo mifumo ya kitaaluma ya vyuo hivyo inawatengeneza wanafunzi wake.
Kibaya zaidi hata awe mtoto wa Kiislamu,kiprotestant, Kilokole, Kibahai,Kihindu au Kipagani. Yaani akiishasoma hayo mashule na mavyuo ya Kikatoliki basi kuna namna moja ya kufikiri itaendana sana na Wakatoliki hata kama kuna mengi atapishana nao. Tayari ashatengenezwa kiakili. (Jiulize kwanini watoto kutoka hizo shule hata wawe na uwezo wa kawaida mwishoni huwa wanakuwa na ufaulu mkubwa sana??) Tayari ashatengenezwa akili hapo.
Teh teh teh teh,
Hakuna msaada wa bure kwenye dunia yetu mkuu. Mfano mwingine kipindi kile cha Ujamaa unahisi kwanini Mzee Nyerere alisomesha sana watanzania Urusi, Uchina,Cuba na India ambako ni nchi za Kijamaa ??? Jibu ni rahisi tu, wajamaa wa Urusi ya Kisovyeti na Uchina walisomesha sana Waafrika, Waarabu na Walatini kwasababu walikuwa wanajenga kambi ya Ujamaa. Leo hii mchukue mtu kama Issa G Shivji halafu umpeleke chuo kama Peking cha Uchina akafundishe pale ni atakubalika na kueleweka balaaa lakini mpeleke chuo kama University of New York kwa mabepari ni lazima atapuyanga sana na watampuuza balaa.
NB: There is no free lunch or free ride home. Once you eat devil's food you got to pay devil's bill. Tujifunze kuangalia nini kipo nyuma ya misaada hata kama wewe unahisi hakuna hela ya moja kwa moja wanapata. Faida wanayopata ndugu zetu Wakatoliki kwa kutoa hii misaad ni kubwa mnooo kwa kanisa.
Mkuu kutunza amani kwa minajili ipi ?Ila hakuna dhehebu linaloitunza amani duniani kama wakatoliki
Na siku wakiamua dunia isiwe na amani dunia yote itakuwa moto kwa kuwa wako kila mahali duniani
Umezunguka sana mbuyu.Ungesema tu kwamba makao makuu ya baba mtakatifu yaliyopo Vatican ni dola kamili kama dola nyingine duniani.Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!
Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!
Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!
Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!

Siyo kweli mkuu wangu, umefundishwa uongo na wewe umekubali tu: Ungesema ni taasisi kongwe ya kidini inayoishi mpaka leo hii ungenishawishi hata kidogo.Taasisi kongwe kuliko zote duniani. The oldest organized organization in the world
Ni kweli kabisa! Ndio waliobuni bimu la atomic na mabomu ya kemikali.Na pia usisahau kuwa Kanisa Katoliki pia ndiyo dhehebu pekee lenye Waumini wenye akili kubwa, nyingi na zilizotukuka kabisa duniani kuliko madhehebu mengine yote yale. Great Thinkers, Think Tank, World Intellectuals na Philosophers wengi huwa ni Roman Catholics ( Wakatoliki )
upo sahihi kabisa, nasikia pia ndo lenye uwezo wa kuweka hadi viongozi wakuu madarakani.Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!
Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!
Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!
Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Jidanganye...Labda wana influence hiyo ktk bara giza, lakini ukienda maeneo kama ya Asia, hawana influence ya kiasi hicho, actually huko wao ni minority kama wasabato masalia.
kwa akili yako waliobuni hayo ndo wenye akili? dhana ya fujo siku zote ni ya watu wasiokuwa na akili, mtu mwenye akili hatumii nguvu/mabavu kufanya mambo.Ni kweli kabisa! Ndio waliobuni bimu la atomic na mabomu ya kemikali.
Tunaomba ututajie hizo sifa na sisi tuzijueCha kusikitisha bado hujazitaja sifa za kanisa katoliki zaidi ya ushabiki maandazi tu, kama wakatoliki wenyewe wapo shallow kama wewe ni wakusikitikiwa, huwa tofauti na wasabato.
Dalili zinaonekana angalia jinsi walivyojilimbikizia ardhiNdilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!
Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!
Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!
Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Ndio kanisa pekee lililoandaa mapokezi ya kumpokea luciferNi kanisa pekee lenye usiri ndani yake wa hali ya juu![]()
![]()
Daaah!!!!Wewe hujielewi, Kim abusu pete za Freemason?
Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!
Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!
Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!
Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
naomba nikuulize, picha za mababu zako waliotangulia mbele ya haki ulizozitunza, au picha za ndugu zako waliofariki ulizonazo, ni sanamu???Hilo jiwe unalolisema lipo Kaaba je na misikiti ya Tanzania lipo?
Lakini li sanam la Bikira Maria lipo kila kanisa na linaombwa litoe msamaha!
Picha zinaabudiwa Kanisani ama Misikitini?naomba nikuulize, picha za mababu zako waliotangulia mbele ya haki ulizozitunza, au picha za ndugu zako waliofariki ulizonazo, ni sanamu???
Dola ile ile ambayo ililitesa Kanisa Katoliki...??? Au unaongelea dola ipi ya Kirumi..???Dola la kirumi ndio lilisababisha kanisa kupata wafuasi wengi kimafia.
Umekariri porojo za sunday school, kanisa katoliki lilishiriki mauwaji ya kimbari Rwanda mwaka 1994, usisahau kuijumuisha na sifa hii ya kanisa katoliki.