Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Cha kusikitisha bado hujazitaja sifa za kanisa katoliki zaidi ya ushabiki maandazi tu, kama wakatoliki wenyewe wapo shallow kama wewe ni wakusikitikiwa, huwa tofauti na wasabato.
 
Huwezi kulinganisha Katoliki na kitawi cha Katoliki ulipo wewe!Jisikitikie wewe na kitawi Katoliki chako.
 
Cha kusikitisha bado hujazitaja sifa za kanisa katoliki zaidi ya ushabiki maandazi tu, kama wakatoliki wenyewe wapo shallow kama wewe ni wakusikitikiwa, huwa tofauti na wasabato.
Unaelewa maana ya ufupisho?!Binafsi nimefupisha na si kwamba nilikoma kutaja hicho ukisemacho wewe.Jiongeze!
 
Umesema ndio dhehebu pekee viongozi wao wanaweza kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika KWA MUDA WAUTAKAO WAO...??? Ni kweli anytime..?? Kwahyo ratiba za prezidaa huwa hazina maana kwa hao wakatoliki..??

Ulimaanisha kwa nchi ya rais anayeomba kuombewa kila wakati ndo wanaweza kumuona anytime au kwa rais wa nchi yoyote..??
 
Rais yeyote hapa duniani. Hata Trump wako.
 
Sasa wataamua nani asilale ktk wawili wa nyumba yao?Mbwembwe nyingine zinavuka akili ya kawaida.
Ndg,kwa hao jamaa hakuna mbwembwe!Pitia mamlaka yako wanao uwezo wa kukufanya chochote!
 
Samahani!Lkn elewa tu jamaa hao ni zaidi ya HATARI na ushawishi wao ktk ulimwengu huu ni zaidi ya udhanivyo!
USICHOKIJUA WEWE NI KWAMBA, population ya wakatoliki ni kubwa kuliko dhehebu lolote duniani. Na ni katika population hiyo hiyo kubwa, kuna viongozi na figures zenye power katika uso wa dunia..!!! Hapo ndo USHAWISHI WAO UNAPODHIHIRIKA.

Likewise, population kubwa ingekuwa ni kwa ISLAMIC, ingekuwa hivyo hivyo.

Wengi wape...!!! Huujui huu msemo..??
 
Kwanza tukubaliane kutokukubaliana!Zaidi,pitia Roma empire!
 
Back
Top Bottom