Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,591
Kumbe wakatoliki nao wanalifuata agano la kale? Nilidhani wakatoliki wao ni agano jipya tu.Ni aibu had I Leo kuna watu wanaamini wakatoliki tunaabudu sanamu, nimeshajibu sana hii hoja lakini naona hamuishi, nilitaka nikupuuze lakini nikujibu japo kwa ufupi tu, sanamu hazijakatazwa na Mungu in fact ukisoma bibilia sawasawa utakuta Mungu mwenyewe sehemu kibao ANAAMRISHA zitengenezwe mfano:
Kutoka 25: 18-20-
Nawe utafanya makerubi wawili wa dhahabu. Utawafanya kwa kazi ya kufua kwenye miisho miwili ya kifuniko.+ 19 Na ufanye kerubi mmoja mwisho huu na kerubi mmoja mwisho ule.+ Juu ya kifuniko mtawafanya makerubi hao kwenye miisho yake miwili. 20 Na makerubi hao watakuwa wamenyoosha mabawa yao kuelekea juu, wakifunika kifuniko hicho kwa mabawa yao, nyuso zao zikielekeana.+ Nyuso za makerubi hao zitaelekea kifuniko.
Au wakati kulikuwa na nyoka wakali wenye sumu Mungu alimuamuru Musa atengeneze sanamu mfano wa nyoka soma Hesabu 21: 8-9:-
Ndipo Yehova akamwambia Musa: “Jifanyie nyoka mkali na kumweka juu ya nguzo ya ishara. Na itatukia kwamba wakati mtu yeyote ameumwa, basi atamtazama na hivyo ataendelea kuwa hai.”+ 9 Mara moja Musa akafanya nyoka wa shaba+ na kumweka juu ya nguzo ya ishara;+ na ikawa kwamba nyoka alipomuuma mtu naye akamtazama+ yule nyoka wa shaba, ndipo alipoendelea kuwa hai.+
Zipo sehemu nyingi tu kasome na Ezekiel 41: 17-18. Na
yake ni hajri mnaabudu au mnafanyaje

Ulijibiwa kwamba hiyo ni sanamu tu haiabudiwi dogo...jibu ulilonipa hadi nikacheka eti kwani hao wanaabudu sanamu ya Bikira Maria 