Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Ni moja ya kati ya madhehebu duniani yasiyo amini Biblia takatifu
 
Ni kweli kabisa ndio dhehebu kubwa zaidi kuliko yote kama jina lake lilivyo catholic means universe
 
Unaposema Kanisa Katoliki lilishiriki ni tuhuma kubwa sana...Maana yake ni Pope(Ofisi) au kanisa kama(body) ilishiriki moja kwa moja...
Naomba uthibitisho wa hiki ulichokiandika...
Achana na huyo jamaa.
 
Ni zaidi ya kanisa la AMANI!Wapo vizuri kwa kila kitu. Km ni timu,ni km man utd ya sasa wazee wa 4g....hahaha!
Nimependa ulivyolidadavu kwani ni ukweli mtupu ila naanza kupatwa na wasiwasi kama umeongea ki chanya au ki hasi
 
Ni moja ya kati ya madhehebu duniani yasiyo amini Biblia takatifu
Hizi akili za wapi hizi..

Yani Biblia ambayo ni kazi ya mikono ya Kanisa Katoliki wasiamino kivipi..?? Yani li Compile Biblia kisha lisiamini kile ilichokitengeneza..? Mbona umeandika kichekesho
 
Hizi akili za wapi hizi..

Yani Biblia ambayo ni kazi ya mikono ya Kanisa Katoliki wasiamino kivipi..?? Yani li Compile Biblia kisha lisiamini kile ilichokitengeneza..? Mbona umeandika kichekesho
Mlicho andika nyinyi ni misale na sheria zenu za kikatoliki. Ndiyo maana kila juma pili mnafuata muongozo wa misale hamna muda wa kuichambua biblia takatifu
 
Hizi akili za wapi hizi..

Yani Biblia ambayo ni kazi ya mikono ya Kanisa Katoliki wasiamino kivipi..?? Yani li Compile Biblia kisha lisiamini kile ilichokitengeneza..? Mbona umeandika kichekesho
Eti kazi ya mikono ya kikatoliki? Mna hulka ya majivuno ambayo ni tabia ya shetani kabisa. Ni bora hata ungesema ni kazi ya Mungu kupitia watumishi wake mbalimbali kama vile mtume Paulo na wengineo.
 
Na pia usisahau kuwa Kanisa Katoliki pia ndiyo dhehebu pekee lenye Waumini wenye akili kubwa, nyingi na zilizotukuka kabisa duniani kuliko madhehebu mengine yote yale. Great Thinkers, Think Tank, World Intellectuals na Philosophers wengi huwa ni Roman Catholics ( Wakatoliki )
Genta upo Mkuu ??
Hatuonani aiseee!
 
Jamani nawashauri msikilize nyimbo ya daz baba inaitwa rastaman jamaa kuongea sana humo!kifupi humo kuna kila kitu yaani hizi dini zinaletwa kwetu Africa na wazungu na waarabu tutachinjana tutauwana lakini dini ni moja tu imani ndani ya moyo wako kutenda yale yaliyo mema na kuacha yaliyo mabaya over
 
Back
Top Bottom