Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 563
- 748
Hawa huwa ni waongo sana, anazungyuka kutafuta sababu wakati ukweli ni kiwa Imani yake ndio imefanya awe upande wa iranSalaam alykum sheikh ubwabwa?
Hawa huwa ni waongo sana, anazungyuka kutafuta sababu wakati ukweli ni kiwa Imani yake ndio imefanya awe upande wa iranSalaam alykum sheikh ubwabwa?
Wenyewe huita Taqqiya🤣🤣🤣🤣🤣Shangaa atakuja kujitetea hapa kua yeye n mvaa msalaba
Mbona Saudi Arabia, UAE, Jordan ni waislam lakini ni team Israel? Au hujui hata 20% ya waisraeli ni waislam pia? Na hao hao wanajeshi wa kiislam wanatumika kupiga wairan!!Tangu lini mvaa kobazi akawa upande wa Israel??
Kwani hao vibaraka Saudi Arabia sio waislam mbona wanawalamba miguu wayahudi?Anazunguka zunguka tu. Kuna muislam anaweza kuwa upande wa Israel? 🤣
Wao wanaamini wayahudi ni mashetani wamelaaniwa wanapaswa kuangamizwa
Mwashambwa sio tilalila wa ccm ,huyo njaa zinamsumbua.MImi ni Mlevi wa kupindukia wa Iran kama Lucas Mwashambwa alivyotilalila na CCM
Saudia Kuna yanayowafunga hawana namna. Ila Kwa ambae Hana kinachomfunga hawezi hata siku Moja.Kwani hao vibaraka Saudi Arabia sio waislam mbona wanawalamba miguu wayahudi?
Morocco wanafungwa na nini? Ila wanajikomba kwa wayahudi kuliko hata marekani. Msiweke udini, hiyo Afrika kusini ndio nchi ya kwanza kuishtaki Israel kwa mauaji ya halaiki huko Gaza ila Afrika kusini ni nchi ya wakristo.Saudia Kuna yanayowafunga hawana namna. Ila Kwa ambae Hana kinachomfunga hawezi hata siku Moja.