Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,991
- 144,327
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.
Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.
Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.
Kazi kwake.