Katika mazingira haya, Askofu Gwajima anapaswa kujiuzulu na si tusubiri kuchukuliwa hatua kuthibitisha ubunge kwake sio kitu kama alivyowahi sema

Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.

Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.

Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.

Kazi kwake.
Unapewa nafasi ya kugombea kwa kubebwa halafu unaleta "pang'ang'a"......

#SiempreCCM
 
CDM mnawazia ubunge wa watu wengine tu.Gwajiboy ni mbunge .Kwannn ajiuzulu.
 
Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?.. Hivi kitendo cha kuletwa chanjo milioni moja na August 3 likazinduliwa zoezi la chanjo,Leo ni September 3 mwezi mmoja baadae zimetumika chanjo laki 3 tu, katika nchi yenye watu milioni 60 huoni hata hao wabunge 95% wapo upande wa Gwajima!?.. wakati mwingine muwe mnaficha uny.umbu wenu.
 
Mkuu suala linalomkabili Gwajiboy ni kusema UONGO kwamba kuna Viongozi wa Juu Serikali wamehongwa ili kuruhusu chanjo iingie nchini. Pili chanjo walizochanjwa Viongozi Wale ni usanii mtupu. Na sababu hili ya Gwajiboy ndiyo iliyowatisha Watz kujitokeza.
Kama siyo kweli viongozi wanapaswa kukanusha tu siyo kumwadhibu.
 
Umenena vyema kabisa !

Kuna watu wanahitaji mafunzo kwenye maswala kama vile problems solving, n.k na sio kukimbilia kutoa adhabu kwa kutaka kukomana au kukomeshana!
 
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.

Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.

Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.

Kazi kwake.
Ajiuzulu kwa sababu zipi; kwa manyang'au wanaowaandama wenye mtazamo tofauti-NO acha wachukue hatua ili wananchi wapate nguvu ambayo hao wenye visasi watavyoanguka kwenye bwawa la tope
 
Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?

Hivi kitendo cha kuletwa chanjo milioni moja na August 3 likazinduliwa zoezi la chanjo,Leo ni September 3 mwezi mmoja baadae zimetumika chanjo laki 3 tu, katika nchi yenye watu milioni 60 huoni hata hao wabunge 95% wapo upande wa Gwajima!?.. wakati mwingine muwe mnaficha uny.umbu wenu.
Gwajima anafukuzwa CCM, as soon as possible
 
Yeye ameeleza ukweli wake juu ya kile anachokiamini. Tena si yeye tu bali huo ulikuwa ndio mtazamo wa watanzania hadi March Mwaka huu. Baada ya hapo wengine ndio wakaanza kugeuka. So yeye atulie, wakimtoa haina shida lakini itasomeka ametolewa kwa sababu ya kuusema ukweli ambao hata waziri wa sasa miezi michache iliyopita mwaka huu aliuamini. Alikuwa ni mfuasi mzuri wa kujifukiza na dawa asili na si chanjo
 
Mkuu suala linalomkabili Gwajiboy ni kusema UONGO kwamba kuna Viongozi wa Juu Serikali wamehongwa ili kuruhusu chanjo iingie nchini. Pili chanjo walizochanjwa Viongozi Wale ni usanii mtupu. Na sababu hili ya Gwajiboy ndiyo iliyowatisha Watz kujitokeza.
Kwa hiyo hata kule Marekani ambapo chanjo imetengenezwa ba imetoka wanavyoigomea ni kutokana na maneno ya Gwajima?

Basi huyo Gwajima atakuwa ndio mtu anayesikizwa sana Duniani. Maana hapa Tz zimekuja chanjo 2M lakini hadi leo ukienda hadi wilayani bado zipo.
 
Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?

Hivi kitendo cha kuletwa chanjo milioni moja na August 3 likazinduliwa zoezi la chanjo,Leo ni September 3 mwezi mmoja baadae zimetumika chanjo laki 3 tu, katika nchi yenye watu milioni 60 huoni hata hao wabunge 95% wapo upande wa Gwajima!?.. wakati mwingine muwe mnaficha uny.umbu wenu.
Swadakta!
 
Kwa hiyo hata kule Marekani ambapo chanjo imetengenezwa ba imetoka wanavyoigomea ni kutokana na maneno ya Gwajima?

Basi huyo Gwajima atakuwa ndio mtu anayesikizwa sana Duniani. Maana hapa Tz zimekuja chanjo 2M lakini hadi leo ukienda hadi wilayani bado zipo.
Kwa hiyo unakubaliana na Gwajiboy siyo??
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom