Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
TeteteteUsimpe rais wetu matatizo mengi
Saivi yupo bize na kumaliza masalia ya upinzani
Akimaliza hapo anahamia ujenzi wa SGR hadi kila kijiji kiwe na yake
Akimaliza hapo aanze kudeal na uteuzi
Atamalizia na kupandisha bidhaa za viwandani ili zifanane na cement
Ukiwa Kiongozi, ubora na hekima katika Uongozi wako unaonekana katika kushughulikia mambo makubwa kama mpaka wa Tanzania na Malawi, sio kukimbizana na viongozi wa Upinzani na mashabiki wao!Usimpe rais wetu matatizo mengi
Saivi yupo bize na kumaliza masalia ya upinzani
Akimaliza hapo anahamia ujenzi wa SGR hadi kila kijiji kiwe na yake
Akimaliza hapo aanze kudeal na uteuzi
Atamalizia na kupandisha bidhaa za viwandani ili zifanane na cement
Hapo ndipo ule usemi wa kutumia rungu kumuua mbu aliyetua sehemu nyeti inabidi utumike!Watagombana muda siyo mrefu, dikteta anajiona yupo sahihi 100% kuliko mtu yoyote
Dikteta yupo sahihi muda woteHapo ndipo ule usemi wa kutumia rungu kumuua mbu aliyetua sehemu nyeti inabidi utumike!
Pumbavu wewe, lini Mwandosya alitatua mgogoro wa Rwanda na Tanzania?Ila nina wasiwasi kama Prof. Kabudi anaweza kutatua huu mgogoro. He is just too presumptuous and cocky.
Tanzania tulipokuwa na mgogoro na Kagame wa Rwanda, Kikwete alimtumia Prof. Mwandosya kwenda kumalizana na Kagame, na Mwandosya alifanikiwa sana. Hivyo Magufuli angeweza kumtumia Prof Mwandosya suala la Malawi. Ila sasa Mwandosya na Magufuli hawaivi kabisa. Mwandosya anamuona Magufuli kama koplo kwenye jeshi la siasa, na Magufuli anamuona Prof. Mwandosya anajifanya Einstein wa Tanzania na anataka kumuonyesha makoplo wanashinda vita bila kuwahitaji kina Einstein!
Hivi wewe huwa una akili kichwani au ni mburula ambae huwa anajifanya anajua wakati ni mpuuzi tu. Mpaka wa malawi na Tanzania hujui upo wapi? Mafuta yawe upande wa Tanzania alafu unapendekeza mradi uwe fifty fifty!Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa mafuta lilizua upendezi mpya wa ziwa kwa Malawi wakasema kwamba mpaka kati ya Tanzania na Malawi siku zote umekuwa mwisho wa ziwa Nyasa kwa upande wa Tanzania, yaani ziwa lote liko ndani ya Malawi.
Tanzania wakasema hakuna kitu kama hicho. Siku zote mpaka ni mstari wa katikati ya ziwa ili kutenganisha Malawi na Tanzania, na hiki ndicho kinachokubalika kimataifa kunapokuwa na maji makubwa kati ya nchi mbili. Malawi hawakukubaliana na msimamo wa Tanzania, na wakadai wataweka watafiti wa mafuta ndani ya ziwa lao (Nyasa). Tanzania ikawaambia Malawi watafiti hao wakiingia upande wa Tanzania watakiona cha mtema kuni.
Marais wa Malawi waliopita walikuwa na msimamo mkali kuhusu ziwa Nyasa wakidai ziwa lote liko Malawi na hata walitumia jambo hili katika kampeni zao. Sijui msimamo wa huyu raisi mpya wa Malawi ukoje. Mgogoro huu ulikuwa usuluhishwe na SADC na Thabo Mbeki na Joachim Chisano walipewa jukumu la kuutatua. Sijui ripoti yao iliishia wapi, au kama waliweza kumaliza kazi yao.
Huko nyuma niliwahi kupendekeza humu JF kwamba jambo kubwa linalofanya kuwe na mgogoro wa mpaka ni mafuta ndani ya ziwa Nyasa. Nikapendekeza kwamba, kwa nini Tanzania wasikubaliane na Malawi kwamba mafuta yote yatakayopatikana ndani ya ziwa Nyasa uwe mradi wa pamoja kati ya Tanzania kwa kugawana 50:50? Sijui kama kuna walionisikiliza.
Sasa basi, kwa kuwa tuna Rais mpya Malawi, ambae ameonyesha ukaribu na Magufuli, ushauri wangu kwa Magufuli ni kutumia fursa hii kumaliza hili suala la mpaka wetu na Malawi. Nachela tusipolimaliza sasa huko mbele linaweza kuja kuzaa vita kati ya Tanzania na Malawi.
Mambo ya vita yamepitwa na wakati. Wanajeshi siku hizi hawapigani wanajenga madaraja na kujenga nyumba nk. Rais Magufuli hebu ongea na Rais wa Malawi tumalize jambo hili na kuanza kutumia hayo mafuta kujenga SGR, Stiegler Gorge, flyovers, lami hadi vijijini, nk, tuifanye Tanzania kama Ulaya!
Angalia pia;
Hujui kitu ndiyo maana umeanza na tusi.Pumbavu wewe, lini Mwandosya alitatua mgogoro wa Rwanda na Tanzania?
Tanzania ilipeleka majeshi yake Drc na waasi wa M23 waliokuwa wanadhaminiwa na Rwanda walifurushwa.
Unatoa mifano ha kipuuzi, koplo wa siasa ndio nini?
Huna cha kunifundisha bwege wewe,lini Mwandosya alisuruhisha mgogoro wa Tanzania na Rwanda? M23 walifukuzwa na Kagame akabaki amenuna tu.Hujui kitu ndiyo maana umeanza na tusi.
Uliza ueleweshe ee kopolo.
Hujui kama hata Tz tulijiandaa kwenda kunyonya hicho kimiminika lakini tumeacha?Hivi wewe huwa una akili kichwani au ni mburula ambae huwa anajifanya anajua wakati ni mpuuzi tu. Mpaka wa malawi na Tanzania hujui upo wapi? Mafuta yawe upande wa Tanzania alafu unapendekeza mradi uwe fifty fifty!
Kama kuna mgogoro Lazarus Chakwera angekuja kunya ziara bongo? Tumia common sense unapotoa mada zako
Hiki kilikuwa ndicho chanzo cha mgogoro we KOPOLOHuna cha kunifundisha bwege wewe,lini Mwandosya alisuruhisha mgogoro wa Tanzania na Rwanda? M23 walifukuzwa na Kagame akabaki amenuna tu.
We fala kweli hujui mpaka Jakaya anaondoka madarakani Kagame alikuwa amenuna? Mgogoro uliisha baada m23 kufukuzwa na Jakaya kumaliza mda wake.Hiki kilikuwa ndicho chanzo cha mgogoro we KOPOLO
Lakini mgogoro uliishaje ,, uliza we KOPOLO..
Nani katuzuia we bwege,au unadhani mafuta yanachimbwa kama mchanga?Hujui kama hata Tz tulijiandaa kwenda kunyonya hicho kimiminika lakini tumeacha?
Mgogoro wa mpaka upo tangu zamani na vipindi vyote hivyo marais wa Malawi ukimwacha Kamuzu Banda wamekuwa wakihudhuria sherehe za kitaifa hapa Tanzania.
Uliza siku nyingine ,usikimbilie kutukana.
KOPOLO hutaki elimu unapenda matusi.Nani katuzuia we bwege,au unadhani mafuta yanachimbwa kama mchanga?
Bwege wewe huna cha kunifundisha nenda kanywe AlikasusuKOPOLO hutaki elimu unapenda matusi.
Hauna ulijualo KOPOLO
Ni wazi sana kwamba sio tu una tatizo la akili, bali huna elimu ya kutosha kuelewa dunia inavyokwenda. Wonyesho wako wa kukosa akili unajidhihisha pia na comment zako, kuwa "hujui mpaka wa Tanzania na Malawi uko wapi, na kama kuna mgogoro mbona Chakwera kafanya ziara bongo". Hayo ni maoni ya mtoto wa darasa la pili.Hivi wewe huwa una akili kichwani au ni mburula ambae huwa anajifanya anajua wakati ni mpuuzi tu. Mpaka wa malawi na Tanzania hujui upo wapi? Mafuta yawe upande wa Tanzania alafu unapendekeza mradi uwe fifty fifty!
Kama kuna mgogoro Lazarus Chakwera angekuja kunya ziara bongo? Tumia common sense unapotoa mada zako
Sasa kama hujui hata matumizi ya tungo tata kama koplo wa siasa, utawezaje kuelewa thread kama hizi? Hebu kabebe mizigo ya wakulima sokoni. Sio kosa letu kwamba hukwenda shule, acha hasira na watu wanaokuzidi ufahamu. Una matatizo kichwani wewe.Pumbavu wewe, lini Mwandosya alitatua mgogoro wa Rwanda na Tanzania?
Tanzania ilipeleka majeshi yake Drc na waasi wa M23 waliokuwa wanadhaminiwa na Rwanda walifurushwa.
Unatoa mifano ha kipuuzi, koplo wa siasa ndio nini?