Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
- Thread starter
- #21
Mpumbavu sana wewe! HUna akili umekaa kutukana kwa kuwa una hasira na watu wenye elimu kukuzidi.Pumbavu wewe, lini Mwandosya alitatua mgogoro wa Rwanda na Tanzania?
Tanzania ilipeleka majeshi yake Drc na waasi wa M23 waliokuwa wanadhaminiwa na Rwanda walifurushwa.
Unatoa mifano ha kipuuzi, koplo wa siasa ndio nini?
Na kama unajua Kiingereza soma hapa chini ujio