Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,787
218,415
Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi.

Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa.

Wote Mnakaribishwa.

 
Nadhani anakuja kutoa semina ambayo wamepewa na mabeberu. Sio mbaya tutamsikikiza agenda alizopewa na mabeberu.ila akae akijua Tanzania Ina viongozi wenye maono ya mbali, Tanzania Ina wananchi wenye thamani, Tanzania hatuko tayari kufanyiwa majaribio.
 
nadhani anakuja kutoa semina ambayo wamepewa na mabeberu.sio mbaya tutamsikikiza agenda alizopewa na mabeberu.ila akae akijua Tanzania Ina viongozi wenye maono ya mbali,Tanzania Ina wananchi wenye thamani,Tanzania hatuko tayari kufanyiwa majaribio.


Hata kama chanjo zimethibitika kufanya kazi ni kukomaa kwa musuli wa nguvu za mwili tu:



Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Nadhani anakuja kutoa semina ambayo wamepewa na mabeberu.sio mbaya tutamsikikiza agenda alizopewa na mabeberu.ila akae akijua Tanzania Ina viongozi wenye maono ya mbali,Tanzania Ina wananchi wenye thamani,Tanzania hatuko tayari kufanyiwa majaribio.
Mabeberu ndio nani? Wakoje? Hebu tupe picha halisi. Maana zaidi ya mbuzi dume, hatuwajui hao wengine. Ndio maana tuko njia panda, beberu lawezaje kumtumikisha binadamu?
 
Corona ni hatari tuchukue hatua za dhati kujikinga, tusifanye mchezo, yeyote atakayepata maambukizi atambue ndio atayapeleka kwenye familia yake, ndugu, na marafiki zake.

Jilinde wewe uwalinde na uwapendao, jukumu hilo ni letu sote, tusitegeane.
 
Miezi sasa imepita, je luzuku wanapokea au inaingia?
 
nadhani anakuja kutoa semina ambayo wamepewa na mabeberu.sio mbaya tutamsikikiza agenda alizopewa na mabeberu.ila akae akijua Tanzania Ina viongozi wenye maono ya mbali,Tanzania Ina wananchi wenye thamani,Tanzania hatuko tayari kufanyiwa majaribio.
Nchi hii kasuku wameongezeka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…