Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

View attachment 1717529
Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi , fahamu kwamba neno la Chadema ndio neno la wananchi .

Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa .

Wote Mnakaribishwa .
Defender itakuwa inamsubiri pale nje endapo atavunja agizo la Dr Abbas!

Asimuige Dr Kitima yule anaongea kwa niaba ya wateule wa Vatican.
 
Hili suala limesababisha wataalam wa maabara pale national lab wasimamishwe kazi tangu may 2020. Kuna tatizo kubwa sana ambalo kulitatua litatuhitaji kutafuta msada wa mataifa mengine. Kujinasua ni kuweka takwimu tu

1. Wangapi wanaumwa
2. Wamepimwa wangapi
3. Wako wapi
4. Wamepona wangapi
5. Wamekufa wangapi
6. Umri wao nk nk

Basi hiyo tu ndiyo inayohitajika
 
Hizo ARV unazotumia na wanaokuhusu zinatoka wapi?
ARV ndio nn !! wewe kilaza kweli,unaamini kuhusu ARV!! unajua implication halisi ya ant-virus .akili za kibavicha haziwez kujua haya. Bavicha bavicha the rotten spirit,mmewakabithi hadi akili zenu mabeberu,ofcoz u have no even a dot of critical thinking. Dunia ya leo na Tanzania ya leo,na ambayo tunaihitaji inataka watu wenye tough spirit, tough thinking capacity and judgement.sio ndez ndez Kama wewe.
 
Vichaa ndio wana maoni yasiyo na chembe ya hoja kama yako. Mabeberu umebaki kuwa wimbo wenu na si hoja.
siku zote , genius katikati ya kundi kubwa la normal brain,ataonekana kichaa tu.hata isac Newton mwanzo walimchulia hivo.
 
Corona ni hatari tuchukue hatua za dhati kujikinga, tusifanye mchezo, yeyote atakayepata maambukizi atambue ndio atayapeleka kwenye familia yake, ndugu, na marafiki zake.

Jilinde wewe uwalinde na uwapendao, jukumu hilo ni letu sote, tusitegeane.

Ni kweri mkuu Mapadre na watawa ndiyo kama unavyoona. Yamewakuta kina Maalim, balozi na hata madaktari bingwa.

Maswali ya msingi yanasimama:

IMG_20210214_214251_251.jpg
 
Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi.

Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa.

Wote Mnakaribishwa.


Azingatie muda aliotaja, maana cdm wana tatizo sana kwenye kujali muda.
 
Back
Top Bottom