Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
2,589
2,000
Ni kituko cha karne,unajilinganisha na Sir Isaac Newton ambaye hata jina lake hujui kuliandika,wala uelewi wapi inatakiwa uandike harufi kubwa na ndogo?.
grammar ilinipigaga chenga mkuu,ndio maana niliikimbiaga.uzuri umelewa .japo ume ni quote wrong,wakina Newton bado wapo,hata Kama sio .
 

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,768
2,000
saa 5 bado tu? au mnyika kaongea pumba kama kawaida yake mnaona aibu kuleta alichokiongea?
 

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,831
2,000
Maisha yanaenda kasi sana ... siku chache zilizopita ukisikia CHADEMA ina press conference, nchi ilikuwa iko very attentive na kitakachoongelewa... lakini sasa 😭😭😭
 

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,768
2,000
Dr.slaa alikuwa na uzalendo na alipania kweli kuleta mapinduzi ya siasa hapa nchini.alipoondoka chama kikabaki na madalali,kila kitu kwisha.
Wabunge wenye akili ndio wale wanawaita covid, hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kukaa na kumsikiliza msigwa, lema, mbowe, mnyika yan wote pumba tupu. Cdm ya zamani ilikuwa na prof baregu, dk slaa, prof safari ukisikia kuna press viti vinawaka moto
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
31,204
2,000
ARV ndio nn !! wewe kilaza kweli,unaamini kuhusu ARV!! unajua implication halisi ya ant-virus .akili za kibavicha haziwez kujua haya. Bavicha bavicha the rotten spirit,mmewakabithi hadi akili zenu mabeberu,ofcoz u have no even a dot of critical thinking. Dunia ya leo na Tanzania ya leo,na ambayo tunaihitaji inataka watu wenye tough spirit, tough thinking capacity and judgement.sio ndez ndez Kama wewe.
Uchafu wote huo uliouandika muulize mama yako , atakupa majibu. Muulize mama yako kama mimi ndez, atakupa majibu
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
31,204
2,000
Nadhani anakuja kutoa semina ambayo wamepewa na mabeberu. Sio mbaya tutamsikikiza agenda alizopewa na mabeberu.ila akae akijua Tanzania Ina viongozi wenye maono ya mbali, Tanzania Ina wananchi wenye thamani, Tanzania hatuko tayari kufanyiwa majaribio.
Jisemee wewe, watanzania na nani? rubbish! Kafue nguo huko chato labda utateuliwa
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
31,204
2,000
labda tumaini la wasiojielewa. watanzania tumaini lao wanalijua.watanzania hawawezi kuwa na tumaini kwa Sacco's ya machade.
mimba kama ya kwako iliyobebwa miaka 9 badala ya miezi 9 ndiyo maana uko hivyo! hasara tupu kwa wazazi
 

chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
2,589
2,000
Uchafu wote huo uliouandika muulize mama yako , atakupa majibu. Muulize mama yako kama mimi ndez, atakupa majibu
hiyo ndo shida ya bavicha,mkiishiwa pumzi mnaanza kuongea utopolo Kama katibu wenu mnyika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom