Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,902
- 944
Ni wakati wake sasaAyatollah Zitto ni msaliti sasa maccm yameanza kumtumia wazi wazi. ACT Wazalendo
Ni mwepesi sana linapokuja swala la publicity na shekeliSijui kwanini sijawahi kumwamini Zitto.
Ni wakati wake sasa
View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata

Kwani na nyie juzi juzi si mlilia kwamba Magufuli hafai na Leo mnajidai eti mnamkumbuka na ni Bora kuliko Mama Samia."Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini"
Huyu huyu alielia juzi kufanyiwa rafu Zanzibar mpaka jamaa wa CCM akajitoa au Zitto mwingine?!
Nina wasiwasi na hiyo nukuu hapo juu, inawezekana mleta mada umeikosea, tazama tena rekodi zako.