Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

wanafiki hao akina mnyika si walisema hawatambui matokeo leo amekua Riasi wao stupidit.............................
Acha ubwege wako.
Hivi hao Covid-19 mmelazimisha kuwapa Ubunge Vitu Maalumu kwa kigezo gani?? Unataka kusema mlikuwa hamjui kuwa CHADEMA haimtambui Jiwe kuwa rahisi halal?? Pambaf.
 
mnatafakari kwa lipi nyie wavimba macho

Huo ni unafiki mntakari kwa lipi eti Raisi yuko wapi? wakati nyie ndo number moja kumuombea mabaya fanyeni kazi ya kufufua chama chenu na kumaliza migogoro yenu na akina Halima mdee hamna jipya nyie wanafiki wakubwa
Yuko wapi Magufuli semeni ukweli?!
 
Kumbe ndiyo maana sasa nimeelewa maana mleta mada ameanza kwa kusema kuwa au kutumia Chadema chama kukuu cha upinzani kumbe hata kujijua tu hamjui sasa mnataka kujua RAis alipo dem sh...lingi
 
Muandishi ameorodhesha viwanda ikiwemo hivi Petroli na gesi asilia, nguo, mavazi, viatu, madini, saruji.

Hivi unajua tafauti iliyopo baina ya mavazi, nguo na viatu? Unajua maana ya neno madini?
 
Ni kweli kabisa nashangaa wanashindwa kusema ukweli
Kwa style na unafiki wa Serikali hii unaweza kubaini yafuatayo:
  1. Inawezekana kweli Rais anaumwa hivo wanajaribu kufanya delaying tactics ili kumpa room of recovery. Akisha recover ndo ajitokeze kwa mbwembwe na kudai alikuwa bukheri wa afya (rejea Mpango Covid case).
  2. Hawataki kusema ukweli kuwa anaumwa Covid-19 kwasababu ya aibu kwa vile amekua akikosoa kila kitu kuhusu Covid-19!!!
  3. Hofu ya iwapo ikitokea ku-rest in peace itakuwakuwaje na nani atashikilia Usukani wa Ikulu?
  4. Assume kuna taarifa za no recovery......maandalizi ya....itakuwaje. Nani atakuwa Captain Komba kutunga mistari ya enzi za Mwalimu???
Tusubiri.....bila shaka yajayo yatafurahisha!!
 
Kwa hili nawapongeza TISS.
Kama ni kweli, kama ninavyoamini, kwamba hajaenda kutibiwa Kenya kama habari zinavyosambaa; unauchukuliaje ukimya wa serikali ya Kenya juu ya uvumi huu? Proof of animosity between these neighbors?!
 
WAPI ALIPO RAIS WETU?

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani.

Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli.

Mara ya mwisho kwa kiongozi huyo wa Tanzania kuonekanaka ilikuwa Jumamosi ya Februari 27.

Katika mkutano na wanahabari leo Ijumaa Machi 12, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema kuwa wananchi wana haki ya kupata taarifa rasmi kutoka serikalini juu ya kiongozi wa nchi yao.
Viongozi wa chama tulikaa kikao na kujadili baada ya kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya kimataifa vikihoji yuko wapi rais Magufuli na baadhi vikienda mbali zaidi na kusema ni mgonjwa na yuko nchi jirani kwa matibabu... Kabla ya tamko hili kumekuwa vuta nikuvute mtandaoni baina ya watu binafsi na baadhi ya viongozi mtandaoni juu ya swali hilo," ameeleza Mnyika.

Juhudi za kumpata Msemaji wa Serikali ya Tanzania kuelezea suala hilo bado zinaendelea.

Akijibu baadhi ya maswali hayo mtandaoni, Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mwigulu Nchemba amesema kuwa: "Kiongozi wa nchi sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuoneka...Kiongozi wa nchi sio mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi na hakuonekana... sio kiongozi wa jogging club anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku..."

Awali kabla yake pia waziri wa habari Sanaa utamaduni na michezo Innocent Bashungwa alionya watu kusambaza taarifa ambazo si za kweli mitandaoni na kwamba wangeshughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Reuters, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ameliambia Shirika la habari la mchi hiyo kuwa rais Magufuli ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli zake nchini Tanzania.

View attachment 1723546
Haya ni majanga
 
Hospitali waliulizwa na media. Hawajakubali wala kukataa. Kama hakuwepo kwa nini wasikatae
 
Jamani Rais wetu ni Mzima anaendelea na Majukumu yake - Kassim Majaliwa (Waziri Mkuu)
 
Hospitali waliulizwa na media. Hawajakubali wala kukataa. Kama hakuwepo kwa nini wasikatae
Na kama alikuwepo kwanini wasikubali?!

Taarifa za awali ilikuwa kiongozi toka nchi jirani kulazwa pale akitibiwa covid. Haikusemwa kama ni kiongozi toka Tanzania, na juzi kuna kiongozi kafia hapo toka Somalia. Who knows!
 
Back
Top Bottom