Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,276
- Thread starter
- #141
Uko sahihi yote ambayo umeandika pointKwa style na unafiki wa Serikali hii unaweza kubaini yafuatayo:
Tusubiri.....bila shaka yajayo yatafurahisha!!
- Inawezekana kweli Rais anaumwa hivo wanajaribu kufanya delaying tactics ili kumpa room of recovery. Akisha recover ndo ajitokeze kwa mbwembwe na kudai alikuwa bukheri wa afya (rejea Mpango Covid case).
- Hawataki kusema ukweli kuwa anaumwa Covid-19 kwasababu ya aibu kwa vile amekua akikosoa kila kitu kuhusu Covid-19!!!
- Hofu ya iwapo ikitokea ku-rest in peace itakuwakuwaje na nani atashikilia Usukani wa Ikulu?
- Assume kuna taarifa za no recovery......maandalizi ya....itakuwaje. Nani atakuwa Captain Komba kutunga mistari ya enzi za Mwalimu???