Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

On Thursday night, an unspecified confidential report went viral claiming, among other things, that some Indian doctors had been flown in Dar es Salaam to help in the treatment of Magufuli. He is hospitalised at the same hospital where former President Benjamin Mkapa died in July last year.

The anonymity of the report notwithstanding, this version coincides with a briefing SAUTI KUBWA had received from a government insider three days ago following our report that Magufuli had been secrerly discharged from the hospital. It was the same day he was rumoured to have been admitted to a city hospital in Nairobi.

But one of our sources said: “The Kenya scenario is a hoax. It is a misinformation by TISS meant to fool the public.”
Mimi nimependa Kingereza chako aisee!
 
Where is this Mzena State Hospital? Is it in Dar or which part of our country?

As far as I know, all VIPs statesmen e.g. The President must had been admitted in one of the Government hospitals like MHN, Lugalo Army Hospital, Mlongazila, Mkapa etc!!

But the question is: What is the reason behind of keeping all these secrets about the health of our President? What's cooking up? Suppose the Presida dies....are they going to stay dumb?

Someone somebody from Government machineries must come out and speak something to clear the air about this speculation
Mzena ni hospital maalum ya kitengo na ni kwa ajili ya high profilers
 
Acha ujinga wewe mdada au we ndo mnyika mwenyewe? Nilini chadema wameanza kumpenda Jpm mpaka kumwulizia? Au wanataka kutia presha kusudi azidiwe hko alipo?
Kiongozi wa siasa huwezi kuita press kuongelea hali ya afya ya kiongozi wa nchi. Sio ustaarabu,si uungwana na si utu kabisaa!!
Chadema waache siasa za matukio,wajenge hoja za kuijenga nchi na kuinua maisha ya wananchi kisha wao wawe mfano.
Majuzi wamegombaniana ugali wa ubunge sasa wakokimya hawana maamuzi yamaana. Dira yao haieleweki watapotea vibaya kwa style hii!! Mnyika asimuige makonda alivyoropoka ile issue ya mbowe!! Hsikuwa busara pia
Azidiwe iyo ipi tena?
 
Kwani na wewe ni mdada!? Maana unasutana kidada dada!
 
Kwahiyo J J Mnyika anajimwambafy kwamba yeye ndio boss kwa sababu wakubwa zake wote wamekimbilia Ulaya.

Bure kabisa huyu dogo!
Kazi ya upinzani ni kusemea mapungufu ya Serikali yako kwenda ulaya vina uhusiano gani na wewe kuficha ficha Ugonjwa?
 
To be honest CHADEMA iachane na siasa nyepesi!! Yaani kikao kilijadili taarifa za mitandaoni? What if ikiwa false?

CDM mnapoteza dira.
Kuongelea kuficha ficha taarifa siyo siasa nyepesi, wapinzani huongea kila mapungufu hupaswi kuwapangia cha kuongea wewe bakia kutetea ufichaji taarifa wao wataendelea kuhoji ficha ficha yenu
 
Chama cha majungu.

Kimekosa sera za kuwavutia watanzania, wanajaribu kutumia mlango wa kuwachanganya watanzania kwa kutunga na kusambaza taarifa fake! Aumwe, asiumwe, dhiaka za nini? Nenda pg za CHADEMA uone wanavyoripoti kwa kudhiaki na kejeli. Mnasikitisha!

Mlishasema Rais kafariki alipokuwa ziarani mikoa ya kusini. Mkatumia zaidi ya wiki 1 kueneza huo ujinga
Mkaleta uzushi Waziri mkuu naye anaumwa. Mara Katibu Mkuu Kiongozi Bashiru naye hoi.
Mkatumia zaidi ya siku 4 kupika majungu eti Sabaya yuko hoi Kalazwa na wengine wakasema kafariki!

Hiyo itawasaidia nini? Mtapata support ya waiojielewa wachache sana na mnaowalipa kushinda mitandaoni. Ndiyo maana majina yanayotunga story ni yale yale!

Bahati mbaya sana JF inaruhusu kubandikwa threads nyingi zinazozungumzia jambo lile lile na siyo kinyume chake! Ili mradi tu zina mrengo fulani lengo ni kulazimisha kitu fulani kijadiliwe sana

Tafuteni watu wenye akili wawashauri kwenye mkwamo wenu wapinzani. Vinginevyo mnajiporomosha mbele ya watanzania wengi.
Watanzania wa wapi unawasemea? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataona upinzani ni Majungu kwa wenye Akili timamu wanajua kazi ya upinzani ni kuhoji mapungufu yote ya CCM kuanzia madogo mpaka makubwa, huwezi kuwapangia wapinzani vya kuhoji, watu wenye Akili washauri kwenye mikwamo ipi? Hakuna mikwamo kwenye upinzani ndiyo maana wewe Polisiccm Tumeccm wakurugenziccm mlipora uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani, watanzania wenye Akili timamu hawana mda wa kuja na maneno ya kijinga kama yako.
 
Acha ujinga wewe mdada au we ndo mnyika mwenyewe? Nilini chadema wameanza kumpenda Jpm mpaka kumwulizia? Au wanataka kutia presha kusudi azidiwe hko alipo?
Kiongozi wa siasa huwezi kuita press kuongelea hali ya afya ya kiongozi wa nchi. Sio ustaarabu,si uungwana na si utu kabisaa!!
Chadema waache siasa za matukio,wajenge hoja za kuijenga nchi na kuinua maisha ya wananchi kisha wao wawe mfano.
Majuzi wamegombaniana ugali wa ubunge sasa wakokimya hawana maamuzi yamaana. Dira yao haieleweki watapotea vibaya kwa style hii!! Mnyika asimuige makonda alivyoropoka ile issue ya mbowe!! Hsikuwa busara pia
Matukio ni sehemu ya mapungufu ya utawala wa CCM na kazi ya upinzani ni kuongelea mapungufu yote ya utawala wa CCM pasipo kubagua hata moja,
 
Matukio ni sehemu ya mapungufu ya utawala wa CCM na kazi ya upinzani ni kuongelea mapungufu yote ya utawala wa CCM pasipo kubagua hata moja,
Sawa minyoo lkn sio kuongelea MTU kuumwa tena kwakushedadia kwenye media hiyo unawaachia wahuni. Anaweza tangulia mshabiki anayejiona kijana mzima waafya ukamwacha huyo unayemwona dhaifu!! Maisha nifumbo.
 
Anaweza tangulia mshabiki anayejiona kijana mzima waafya ukamwacha huyo unayemwona dhaifu!! Maisha nifumbo.
Kweli kabisa. Wao wenyewe walijua Lisu atakufa lakini wanatangulia moja mmoja Lisu anawacheki tu wanavyozikana. Lisu atakuwa wa mwisho wao wakishaisha
 
Back
Top Bottom