Kati ya Maulidi Kitenge na Masoud Kipanya nani zaidi kwenye yafuatayo...

Wana mmenimind sana haina noma acha nikaushe...... ila muache ufala wenu... kuruka deile na chopa eti kazi maalum kazi gani hizo ? Nchi haina hata kinu cha nyuklia eti usalama,, usalama gani huo... nendeni israel au iran huko ndo mtajua usalama ni kitu gani.... bongo maigizo tu na kutumia kodi za wananchi vibaya hatuna usalama wala nn.....
ndo nyie mkipewa kazi miezi miwili tu mshanenepa kwa bia na kitimoto
 
Nchi ina vijana wa hovyo sana hii
 
Kwamba kitenge ni TISS πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ moja ya kilevi kipya hapa mjini🚢 inaonekana mission yake ni special force πŸš΄πŸš΄β›·οΈ kila mda chopa, TISS wenzake ni wala mihogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…